Habari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.
Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Huku ndipo tulipotoka... unaonyeshwa picha unaenda nyumbani kwao binti anaitwa unacomfirm baada ya hapo ndoano.Walio okoka huwa hawatafutagi wenzi wa maisha yao kwenye mitandao ya kijamii! Utakuja kuolewa na jini!!!!
Hongera Dada naomba uje pmHabari,
Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.
Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.
Karibu pm kwa maelezo zaidi.
hahahaa umesababisha nimepaliwa mkuuKasema hajaolewa, ndo anatafuta