Natafuta mume

Natafuta mume

Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Sasa kama unampenda Yesu kwanini unataka kuolewa na mwanaume binadamu? Yesu atosha!!!
 
OBSERVATION WITH NO FACTS NI SAWA NA BURE,HATA SIKU UNATENDWA UTASEMA WANAUME WOTE TABIA NI SAWA KITU AMBACHO SI KWELI
but mind you hapa we are so free to say whatever we feel like. I don't see any logic kunishambulia.

anyway whatever you wanna say to me feel free to say it. I will take them and dissolve them whenever possible.

karibu sana.
 
Weka picha na majibu yako ya H.I. V naamini utapata tu wadau wapo..
 
but mind you hapa we are so free to say whatever we feel like. I don't see any logic kunishambulia.

anyway whatever you wanna say to me feel free to say it. I will take them and dissolve them whenever possible.

karibu sana.
wapi nilipokuattack au maandishi yangu yamekudhuru au hujanielewa nini nimemaanisha?
 
attacks zinatofautiana mkuu, wkt mwingine mutu isipoelewa inakuwa attacks vile vile. so jst understand me that way kwamba umeni attack.
 
ha ha haya mwanajamii kwa kutuliza mpira wangu
 
Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Baada ya ajira kuwa ngumu.... naona ajira pekee zinazotangazwa ni za namna hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom