Natafuta mume

Natafuta mume

Na mimi natafuta Mke ila wakiislamu... haya maisha bwana huenda ukawa na happy life na yule msioendana kiimani....
 
MTU wa baa ataoa baa medy msanii ataoa msanii mwenzake na Mtumishi wa Mungu ataoa Mtumishi wa MUNGU.....kwa kuwa umemtanguliza MUNGU nikuulize je MUNGU amekuambia kuwa mume wako utampata hapaJF au utampata kwa njia hii ya matangazo. Shika hii itakusaidia MUNGU alisema nitamfanyia msaidiz anayefanana naye....hivyo huku kufanana sio kimaumbile tu kama kuwa na miguu kichwa no nono Bali hata kitabia hivyo ukiwa na Tabia za kuwa na hofu na MUNGU na kumcha basi ujue mumeo utamuona kanisani au ukiwa na Tabia ya uongo basi huko ndiko utamuona mumeo na kama unatabia ya kunywa basi kamsubiri mumeo baaa kinyume cha hapa mpka MUNGU aseme na we we mazingira gani mumeo utamuona. Hivyo kabla hujachukua hatua hii UWE na UHAKIKA kuwa MUNGU amekueleza uchukue hatua hii kinyume cha hapa jichunge usije ukajuta na hamu ya kuolewa ikafa
Wala c kweli kuwa wanaume/vijana wa kiume .... wanawake/vijana wa kike wote wapatikanao ktk nyumba za ibada ni wenye HOFU YA MUNGU ...

Wengi leo wamefanya nyumba za ibada kama MAFICHO .... ni mbwa mwitu walojivika ngozi za kondoo ...
 
Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Kuanzia umri gani matakwa yako?
 
Yaani umekosa wanaume wote hao waliopo kanisani kwenu uko kweli? ?
haya makanisa mengi ya kilokole hakuna wanaume wenye kazi za maana. sasa na wanawake wengi wanataka kitonga wanawaona waumini wenzao kama choka
 
Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Walio okoka huwa hawatafutagi wenzi wa maisha yao kwenye mitandao ya kijamii! Utakuja kuolewa na jini!!!!
 
Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Naanza kwa kutoa hongera kwa mtoa post "You're so courageous" .... remain firm and adhere to whatever you believe, if your belief is sincere .....

Na kwetu sisi wachangiaji .....

So many of the comments concerning the above Zilakina's post reveal how IMMATURE many of us are ......

Why don't we prove our MATURITY in both physically and mentally for whatever comes from our mind? ...

Miaka 31 ina tatizo gani? ...eti ni mzee ... are you thinking positively? ..... we're only thinking and uttering NONSENSE .... tutabadirika lini?

Ni imani yangu muhusika ametaja miaka yake ili afahamike ana umri gani sababu wengi wangehitaji kufahamu kama acngetaja .....

But to my surprise the age of hers has now become an issue ..... tangu lini miaka ya mtu ikawa kigezo/kipimo cha MATURITY yake? ....

Je Maisha yetu ya kimahusiano yahitaji UMRI wa mwenzi wako ama MATURITY ya wahusika na jinsi ambavyo pana MUTUAL UNDERSTANDING kati yao?

Kwangu UMRI si kigezo .... but simaanishi kila msichana/mvulana hata alo chini ya ADULT AGE anaweza kuwa PARTNER ... La hasha ......
Adult age yajulikana kisheria .... yeyote ktk umri huo apimwe MATURITY yake na kama anakidhi apewe nafasi ....

Note: .... Very important of all let's forget not about FEARING THE ALMIGHTY GOD .... here is where our TRUE BLESSINGS comes from ....
 
Hebu tumA kwanza picha ya papuchi yako tuone Kama haina sugu maana wanachuo nawaogopa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom