Natafuta mume

Natafuta mume

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Unaishi wapi?
 
mi nina salasini na saba je utanipenda?
 
wewe una kazi, maana vigezo na masharti kuzingatiwa. Huwezi kutafuta mume mwenye ajira alafu wewe hauna ajira mama la mama, njoo tuunge maisha na vifurushi vya 24hrs
 
Ukimpata Yesu utakuwa umepata vyote
Wala hutaumizwa
Alibeba fadhaa zetu
Yesu atamkumbatia akiskia baridi sio... na haki yake ya usiku atampa?
Mwache Yesu aponye uko Muhimbili.. Huyu kashampa uzima na uanamke, mwache atafute mume.
 
Jamani inaonekana huyu lupala anajivunia uzuri Wake hebu msomeni hapa miaka hiyo ....2013 akiwa bado binti kigori tu baada ya kumaliza chuo kikuu alikuja na swaga hizi:

Natafuta mume

Hivyo watu hiyo 2013 hawakukawia... wamepiga mimba halafu katelekezwa na mtoto, ndio maana leo 2016 anakuja tena hapa Jf kutafuta mwanaume mwingine ili asaidie sasa kulea mtoto. Kinachoonekana huyu binti ni moto chini sana na sio mtu wa kutulia...hivyo ni suala tu la kuji-sevia na kusepa....na sio kuweka ndani...kama huamini maneno yangu....msome hapa...

Na anaonekana mpenda pesa sana, sasa dawa yake ni wadau wajitokeze wapige mimba nyingine ili atulie tena Hadi 2020.
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Haya Karibu Tuongee, kama upo serious ni PM ili nikupe number yangu.
 
Usijali dada,utapata tu sisi wanaume tupo tofauti kuliko mnavyotufahamu....
 
Jf wavutaji bange wapo wengi jaribu kuwa makini,usije pata koroma naona unachagua sana,
 
Mi kuna kgezo cna cha umri mana Nina miaka 26 ila vngine vyote nimequalify
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom