Natafuta mume

Natafuta mume

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.

NI pm tuone!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Kila la heri
 
Mi niko tayari lakin kama uko tayari kulea nina watoto wawili sina mke kama vipi ni pm.
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Samahani dada kama nitakuwa nmekukwaza,,,kama unahitaji mwenye hofu ya Mungu cdhani kama utampata humu,,kama kweli unamtaka mume mwombe Mungu pia usisahau kwenda kanisani kusali kila inapotakiwa,hudhuria maombi,fanya fellowship kaa karibu na Mungu wako atakupa mwanamume unayemhitaji
 
Nawe unakubali mwanaume mwenye watoto...!?
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.

Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
umezaa kabla ya ndoa? afu unataka mwenye hofu ya Mungu? tokea 2013 miaka yako haijaongezeka?
 
Jf inaonekana kwa sasa ina watoto wengi, maana naona majibu mengi hayawezi kujibiwa na mwanaume aliyepevuka.
 
Vipi dada Allah amekufanyia wepesi wa kumpata mwenza?
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kuoa mke wa mtu.
 
"..Naona wafanya biashara hapa hatuna chetu"
Hamna kitu huyo ni cha wote toka 2013 namsoma tu anavyohangaika bora atulie amtunze mwanae kuliko kuja hapa kwa mbwembwe kuna Nataka mume mwenye Ajira huku akijua miaka haina stop watch inaenda tu...huwa wanawalisha sumu watoto zao wachukie baba zao kuwa hawawajali hi ni tokana na chuki na stress juu
 
Biashara matangazo. Weka vivutio tuvione. Umesema kimoja tu kwamba una mtoto, weka picha zako tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom