Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,418
Nitex inbox tuongee, vigezo ninavyo labda kama tutatofautiana sehemu tunazoishi
Vp umeshapata mtuMimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Kuna member mmoja anaitwa bwire emmanuel mwaka 2013 alisema umtafute ili akutafutie, je hukumtafuta? Je kama ulimtafuta alikupatia kazi? Na kama ulipata kazi je uliacha?V
i
Vigezo huna kaa kimya.waachie wenye vgezo.
Na ndio wanaoongoza kuchafua jukwaa na thread za kutafuta wanaume.Suala la wanawake kuzaa kabla ya ndoa limepamba moto kweli kweli!
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Kwa majibu yako tu hayo unsonekana huna adabu ndio maana umeachwa mataa. Mwanaume gani aoe mwanamke mwenye mdomo kama wewe!V
i
Vigezo huna kaa kimya.waachie wenye vgezo.
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Huo mwaka alikua anamtafuta mume wa umri gan?2013 ulikuja hapa jukwaani ukitafuta mme leo nako umerud pole sana dada yangu japo vigezo sina
Kuna watu mnakera sana na Ndo maana mtu anakujibu shit...kama unaona vp sio lazma ukomenti msiwaharibie wenzenu mood ebooohKwa majibu yako tu hayo unsonekana huna adabu ndio maana umeachwa mataa. Mwanaume gani aoe mwanamke mwenye mdomo kama wewe!
Mnaringa tukiwatongoza mkizaa mnakuja kutafuta kwenye mtandao
Single mother tupa kule
Wewe unafaa kuliwa tu sasa sio kuolewa
V
i
Vigezo huna kaa kimya.waachie wenye vgezo.
Tulieni muolewe basi.Kuna watu mnakera sana na Ndo maana mtu anakujibu shit...kama unaona vp sio lazma ukomenti msiwaharibie wenzenu mood eboooh