Natafuta mume wa kunioa

Dada sisi wanaume tukikukuta na mtoto huwa tunaanza kujiluza swali la kwanza na kuu

"IKAWAJE MWANAUME MWENZANGU ALIYEZAA NA HUYU DADA YAKAMSHINDA AKAAMUA KUMKIMBIA NA KUMUACHA YEYE NA DAMU YAKE (MTOTO)"

Jibu huwa linakuja huyu ni pasua kichwa na mfupa uloshinda fisi, basi tuna mega tunakaa prmbeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Nitumie namba yako plz
 
Nakuombea sana.. Simama thabiti na hitaji lako wasamehe wapuuze watakoakubeza
 
Hapo zamani kidogo nilishawahi kuzama PM.

Mungu akubariki katika hitaji lako.
 
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Mbona kimya nitumie namba yako pm
 
Mungu akujaaali huna mashart mazito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom