Natafuta mume wa kunioa

Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Naomba ni pm mrembo tuonge,ikiwa kweli unaitaji kupendwa.
 
umeandika kikubwa sana.
Barikiwa na Mungu afungue milango ya baraka kwako
 
KWANINI UNASEMA MWENYE KUSAMEHE UNAPANGA KAMKOSEA MAKUSUDI. AU KUFANYA MAKOSA NI KAWAIDA YAKO.
 
Yupo kaoa ana maisha yake
Hizo ni imani potofu mlizojiweka katik kudharau wanawake tu waliozaa hata ambao awajazaa mbona wanaendelea kupasha viporo na wapenz Wao wazamani
Mm Sio type hiyo ya kupashan viporo nimemove on na nilikosea kwenda tu siwez kukosea kurudi sawa ndugu

Na heri Mimi niliyezaa kuliko aliyetoa mimba hata tano watoto ni Baraka
Well said Ms
 
Kila la kheri dada.

Hizi negative comments achana nazo.

Watanzania wengi stress zao za maisha wanazitolea mitandaoni nyuma ya keyboard.

Kuwa na imani, furahia maisha yako.

Msalimie anko.....
 
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Jiunge na ala za roho ya mojay
 
Oooh Ahsante mungu nimepata MKE SASA
Maana huja guide umri kama [mention]Kelsea [/mention]
 
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Hiyo hatua uliyopo inaitwa stage 3 of woman life a.k.a Rose heart
Stage 1 huwa wanasema natafuta mwenye gari, pesa na nyumba, kazi na makampuni! Hapa huwa wanafuatwa na wengi wasio na vigezo vinavyohitajika! (17-27 yrs mostly)

Stage 2 huwa wanasema wanataka mwanaume anayemudu kugharamikia chakula na kodi (mtoto na 28-37 yrs mostly)

Stage 3 huwa wanataka kijitu tu ili mradi kina uume! Basi! (Waliopigika 38 yrs onward)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom