Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 732
- 292
tupia picha yako kwanza
Sio kweli haupo makini kwa hili naona upo kiutani zaidi kwani Mume na mke bora hapatikani kwenye if fb yahoo na twitter.Zunguka tembea ipo siku utakutana uso kwa uso na unaemtafuta,na Inshallah kwa uwezo wa Allah huyo ndio atakuwa mume bora,

U'positive unakutisha vp mkuu? It's just a name na kiukweli huwa sipanick in whatever situation, naamini ku'deal na issue zote kwa utulivu and mostly nipo na positive mind when comes to dealing wth any situation
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.
Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
6. Umri 30-40
NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.
Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.
Asanteni.