Natafuta mume mwenye maambukizi ya HIV

Natafuta mume mwenye maambukizi ya HIV

Ulijigunduaje kuwa una vvu?hebu tupe muongozo na sisi humu tujue dalili za vvu
 
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia umri kuanzia miaka 33.Asante aliyetayari ani pm
hongera kwa ujasiri, ukimpata tupe mrejesho ili kuhamasisha na wengine kua inawezekana
kua na h.i.v sio mwisho wa maisha
 
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia umri kuanzia miaka 33.Asante aliyetayari ani pm
Nitafute kupitia namber +255763710052
 
Mnapo pole ya nini?
Au ndo style mpya ya kunyanyapaa.

Hiyo hali ni kawaida kama kusema ana tafuta mme mwenye mafua kama yeye.

Ila mjitahidi kutumia kinga jamani
 
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia umri kuanzia miaka 33.Asante aliyetayari ani pm
TUWASILIANE MM NINA MIAKA 48 KWA NAMBA 0714560515
 
Uko mkoa upi unapatikana?na Elimu yako ni kiwango gani?kuna rafiki yangu yuko seriously siunajua maisha ni kusaidiana
 
Back
Top Bottom