hahahaaaaaa! Unataka kutuaminisha kuwa ww ni mke mwema na sio kurumbembe?? Acha kutudanganya watu wazma bhana. Ungekuwa unasifa za kuwa mke usingehangaika mpaka humu kwenye mitandao. Ww kuwa mkweli tu kuwa jaman mwenzenu nilikuwa hati punguzo/ maharage ya mbeya sas hvi nimekosa soko nmeona nijitembeze ili niuzike. Ukisema hvyo tutakuelewa na tutajua tuje na staili gani. Au sio bi dada
mimi ni binti wa kiha,elimu yangu ya chuo,urefu wangu ni cm 155. Natafuta mwanamme atakayekuwa mume wangu kunako majaaliwa ya mwenyezi mungu,awe na sifa zifuatazo:awe mkatoliki,anayejua kupenda,elimu ya chuo,asiwe mlevi,awe na kazi halali,awe na umri wa kuanzia miaka 33 hadi 38.karibuni kwa pm. Tahadhali:niko serious so, usilete mzaha hasa kwenye pm!
Ok,huo ni mtazamo wako so,sina haja ya kubadilisha unachokiamini! Ninachojua mimi dunia ni kijiji which means watu kutoka all over the world tunakutanishwa na mtandao!
Join Date : 23rd March 2014; Natafuta mume mtarajiwa! shikamoo jf!!!Mimi ni binti wa kiha,elimu yangu ya chuo,urefu wangu ni cm 155. Natafuta mwanamme atakayekuwa mume wangu kunako majaaliwa ya Mwenyezi Mungu,awe na sifa zifuatazo:Awe mkatoliki,anayejua kupenda,elimu ya chuo,asiwe mlevi,awe na kazi halali,awe na umri wa kuanzia miaka 33 hadi 38.Karibuni kwa PM. TAHADHALI:Niko serious so, usilete mzaha hasa kwenye PM!
Join Date : 23rd March 2014; Natafuta mume mtarajiwa! shikamoo jf!!!
Acha kupanic wewe!!!unaonekana umepania sana!!!Kwani huko nyakitonto umewakosa?Jf,hawajakataza kujiunga jf na kuanzisha thread siku hiyohiyo,au ulitaka niwe senior member kwanza ndo nianzishe uzi?
she z not romantic!!unaweza kuta ni dume, mdada ana makavu hivi khaaa