Ntigy
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 489
- 270
- Thread starter
- #61
Nakutakia kila la heri mdada,nilianzisha uzi mwaka jana dec wapumbavu wengi wakaniponda na maneno ya kejeli ila sikuwatilia maanani na nilifanikiwa.Maisha yanawasumbua wanamalizia stress zao kwa wengine
Hongera best! Tatizo watu wengi wanakasumba kuwa mwanamke kutoa hisia zake ni malaya! Lakini tunaona ndoa nyingi za watu waliokuwa maclassmates/majirani/familyfriends n.k zikiwa jehanam ndogo huku wahusika wakibaki kusema ningejua....