gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 407
azote mnatuahabia mingo mtoto keshajaa kwenye pmkwanza wewe una watoto wawili?wewe ni mjane?umeachika au ulizaa tu ovyo ovyo?

Habarini wadau wanajf,mimi ni mwanamama miaka 32 natafuta mume tuoane ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58 na awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la serikali ambaye ni ofisa haijalishi kitengo lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha
1.Msikitini/Kanisani ..wengi walioenda huko saa hizi ni majanga yamewasonga
2.Swala la umri naamini atakua keshamaliza michezo yote na mauongo yote ya kucheat kwa mwanamke(matured enough)so kwakua mimi nina watoto naye pia anao kuzaa haipo...
3.Mimi nina gari mbili moja ntampatia ili tufanye mambo mengine na kiinua mgongo,Nadhani nimejibu hoja zako zote Idimi
Habarini wadau wanajf,mimi ni mwanamama miaka 32 natafuta mume tuoane ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58 na awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la serikali ambaye ni ofisa haijalishi kitengo lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha
Mwanangu wa mwisho yuko chuo mwaka wa pili ...usiogope mekuuu...by the way sijaja kuomba msaada wa kusomeshewa ...