Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 19,768
- 41,855
Amesema asiwe mlevi na hajasema mlevi wa nini, pengine ana alergy na ugoro.Kwanini hupendi wanaume wanywaji?!
Amesema asiwe mlevi na hajasema mlevi wa nini, pengine ana alergy na ugoro.Kwanini hupendi wanaume wanywaji?!
Nyie ndo mana kuna majukwaa mnapigwa marufuku alaaah🤣🤣
Ooh kumbe!! Ngoja nimfollow pm😂😂Piga reciprocal mkuu au hksoma math form two apo kamanisha ni 32
Ukweli mchungu ni kwamba wanaume hatuoi wake za watu (single maza) labda uwe mjane wa kueleweka ila kama unataka huduma tumia weupe wako vizuri utapata boya wa kumla hela zake mtoto akuekue ila siyo mume na ukikaa vibaya kwa umri huo utajikuta umezaa na wanaume tofauti tofauti na kubaki kuchekwa.Mimi ni mama wa miaka 23
Niko Dodoma
Kazi mtumishi
Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene
Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
Mama Diwani siyo mshangazi mkuu😂😂Mama diwani bonge la dada
Daaa daaa dada bonge la dada
Tumekuachia mali hiyo, usituangushe😹😹😹 nipo kwenye harakati na kuopoa
Kwenye moja na mbili hii lazima hiiTumekuachia mali hiyo, usituangushe
kila la kheri kwake
Kuna sehemu nimeandika kuwa Nina mtoto?soma vizuri weweUkweli mchungu ni kwamba wanaume hatuoi wake za watu (single maza) labda uwe mjane wa kueleweka ila kama unataka huduma tumia weupe wako vizuri utapata boya wa kumla hela zake mtoto akuekue ila siyo mume na ukikaa vibaya kwa umri huo utajikuta umezaa na wanaume tofauti tofauti na kubaki kuchekwa.
Nb. Wanaume tukiwa na kipururu njia nzuri ni kuchezea single maza kwa kigezo cha kuwaoa au kutoa chochote kitu kuwapunguzia ugumu wa maisha na siyo kuwaoa. Kuwa makini sana
UKIENDA UMASAINI NDANI NDANI NI RAHISI SANA KUOLEWA ILA UKIZINGUA NI HATARI SANA
Mimi ni mama wa miaka 23
Bonge la dada dada daaaa dadaMama Diwani siyo mshangazi mkuu😂😂
Kwani aviola mshangazi😂😂Bonge la dada dada daaaa dada
Ahahahahah sio kama aviola
Now mi nakula mpaka wadada an waifu uwezi amini kuna katoto kanataka kunipereksha et anasema siwezi kumlomba mpaka ninunue either simu au tv....Kwani aviola mshangazi😂😂