Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

pole sana Mungu akupe hitaji la moyo wako
na cha kufanya nenda kwenye maombi uombewe utapona utakapompa Yesu maisha yako
 
Hakuna ktk dunia hii anaeishi na virusi vya ukimwi, wala kirusi chenywwe hakipo.

Duniani kuna watu wanaishi na ukimwi (upungufu wa kinga mwilini) tu.

Najua hutanielewa.

Huo upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na nini?
 
Haujafundishwa kuwa vijidudu vipo kama vya aina mbili na ukiingiliana na ambaye ni tofauti na wewe ni unajimaliza?

Kafanye risechi juu ya hili jambo usije ukafupisha kaisha yako au ya mwingine.
 
Habari wana jukwaa,

Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa nikiwa na maambukizi wakati mchumba wangu alikuwa mzima, tulipanga kuachana kwa siri bila kutoa sababu halisi na kiukweli iliniathiri sana kisaikolojia, lakini baadae nilipata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya na kuendelea na maisha, mwaka mmoja baadae mchumba wangu alipata binti mwingine na kufunga ndoa.

Mwanzoni nilihisi mwisho wa maisha yangu umefika na sitaweza kuolewa tena lakini kadri muda unavyokwenda sasa ni miaka 5 naona niko vizuri kabisa,sijawahi kuwa na afya mgogoro wala kuumwa mara kwa mara maana nilianza dawa mapema na ninazingatia maagizo ya daktari, nafanya kazi zangu vizuri na maisha yanakwenda.

Sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta endapo kuna mtu ambae anaishi na virusi na anafikiri we can make a good couple na awe tayari kufunga ndoa takatifu kanisani, awe mrefu kwa sababu mimi ni mrefu na awe anajituma kutafuta fedha kwa kuajiriwa au hata kujiajiri maana pesa ndo itafanya tuishi muda mrefu na tuwe na afya bora lakini mtu mvivu asiefanya kazi simtaki maana atafanya tukose lishe bora na kupunguza maisha yetu, kwa wale ambao walifiwa na wenzi wao pia wanakaribishwa.

Kumbuka kupata VVU SIO MWISHO WA MAISHA, life goes on, alie tayari ani pm email address yake.

Thanks
NB:Hii ni issue serious sio utani wala drama kwaiyo naomba wanaotuma pm wawe serious na usitoe namba ya cm tafadhali mimi ninahitaji email address tu,wengine wanataka watoe namba ili nikipiga wapate namba yangu then what for?namba tutapeana tukishafika kwenye level fulani za mawasiliano na ikibidi tukishaonana,Ahsanteni

#afya si ndo imekufanya ukose ndoa!,huwez kuwa na afya bora huku una ukimwi!
 
Rest in peace before actual death

Really seriously...?? May the Lord forgive you. She will never die, she shall live to proclaim the Kingdom of God, so get behind Satan , in Jesus name, Amen.. Thanks..
 
My dear Cute M.. Pole sana na changamoto unazokutana nazo humu ndani.. Never give up dear Mungu yuko pamoja nawe, because He knows your heart desire , I pray that the God of Abraham and Jacob to see you through in Jesus name Amen.. Never cried dear because victory is yours and guess what ? Your husband to be , He is on the way, Amen.. Remember God knew you before He informed you in your Mother's womb .. Amen. Have Faith my darling and this is not over yet.. Many blessings to you.. Love you ..Thanks..
 
Nimegundua kuna watu humu jf niwajinga sana mwenzenu anatafuta mwenza wengine mnaishia kumkatisha tamaa aisee kuna watu nyoko sana alafu unakuta mtu anasema haya anamiaka miwili hajaenda kupima aisee dada usivunjike moyo kuna mada humu jamaa alikuwa anatafuta mwenza na akapewa ushauri jinsi ya kuunganishwa nao itafute tuu
 
Much love💟💖💓💖💓❤️❤️💘🎁😘
 
Habari wana jukwaa,

Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa nikiwa na maambukizi wakati mchumba wangu alikuwa mzima, tulipanga kuachana kwa siri bila kutoa sababu halisi na kiukweli iliniathiri sana kisaikolojia, lakini baadae nilipata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya na kuendelea na maisha, mwaka mmoja baadae mchumba wangu alipata binti mwingine na kufunga ndoa.

Mwanzoni nilihisi mwisho wa maisha yangu umefika na sitaweza kuolewa tena lakini kadri muda unavyokwenda sasa ni miaka 5 naona niko vizuri kabisa,sijawahi kuwa na afya mgogoro wala kuumwa mara kwa mara maana nilianza dawa mapema na ninazingatia maagizo ya daktari, nafanya kazi zangu vizuri na maisha yanakwenda.

Sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta endapo kuna mtu ambae anaishi na virusi na anafikiri we can make a good couple na awe tayari kufunga ndoa takatifu kanisani, awe mrefu kwa sababu mimi ni mrefu na awe anajituma kutafuta fedha kwa kuajiriwa au hata kujiajiri maana pesa ndo itafanya tuishi muda mrefu na tuwe na afya bora lakini mtu mvivu asiefanya kazi simtaki maana atafanya tukose lishe bora na kupunguza maisha yetu, kwa wale ambao walifiwa na wenzi wao pia wanakaribishwa.

Kumbuka kupata VVU SIO MWISHO WA MAISHA, life goes on, alie tayari ani pm email address yake.

Thanks
NB:Hii ni issue serious sio utani wala drama kwaiyo naomba wanaotuma pm wawe serious na usitoe namba ya cm tafadhali mimi ninahitaji email address tu,wengine wanataka watoe namba ili nikipiga wapate namba yangu then what for?namba tutapeana tukishafika kwenye level fulani za mawasiliano na ikibidi tukishaonana,Ahsanteni

Hi mambo? Check with me pls
 
Hongera sana kwa ushujaa wako..Mungu akuongeze maisha marefu na yenye furaha na ushujaa na umpate umtafutae na usiwe na haraka ya kumpata hata kama itakuchukua 5 more years kumpata...naamini inbox imejaa
 
Penye nia pana... njia...

Unaishi maisha halisi saaaana
Mungu akubariki saaana Cutie M
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jukwaa,

Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa nikiwa na maambukizi wakati mchumba wangu alikuwa mzima, tulipanga kuachana kwa siri bila kutoa sababu halisi na kiukweli iliniathiri sana kisaikolojia, lakini baadae nilipata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya na kuendelea na maisha, mwaka mmoja baadae mchumba wangu alipata binti mwingine na kufunga ndoa.

Mwanzoni nilihisi mwisho wa maisha yangu umefika na sitaweza kuolewa tena lakini kadri muda unavyokwenda sasa ni miaka 5 naona niko vizuri kabisa,sijawahi kuwa na afya mgogoro wala kuumwa mara kwa mara maana nilianza dawa mapema na ninazingatia maagizo ya daktari, nafanya kazi zangu vizuri na maisha yanakwenda.

Sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta endapo kuna mtu ambae anaishi na virusi na anafikiri we can make a good couple na awe tayari kufunga ndoa takatifu kanisani, awe mrefu kwa sababu mimi ni mrefu na awe anajituma kutafuta fedha kwa kuajiriwa au hata kujiajiri maana pesa ndo itafanya tuishi muda mrefu na tuwe na afya bora lakini mtu mvivu asiefanya kazi simtaki maana atafanya tukose lishe bora na kupunguza maisha yetu, kwa wale ambao walifiwa na wenzi wao pia wanakaribishwa.

Kumbuka kupata VVU SIO MWISHO WA MAISHA, life goes on, alie tayari ani pm email address yake.

Thanks
NB:Hii ni issue serious sio utani wala drama kwaiyo naomba wanaotuma pm wawe serious na usitoe namba ya cm tafadhali mimi ninahitaji email address tu,wengine wanataka watoe namba ili nikipiga wapate namba yangu then what for?namba tutapeana tukishafika kwenye level fulani za mawasiliano na ikibidi tukishaonana,Ahsanteni

#afya si ndo imekufanya ukose ndoa!,huwez kuwa na afya bora huku una ukimwi!

mtanganyika wa kweli kama wewe hauna hizo sifa basi pita tu usianze kutoa kashfa,wewe kama una afya bora na ukae na afya bora milele,usije ukapata hata upele wala chunusi,God is watching u
 
Back
Top Bottom