Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

Mungu akupe maisha marefu dada. Ningekuwa hivyo hakika ningekuwa ila naamini mungu atakujibu ombi lako.
 
peterchoka una uhakika na unachosema ama ndo dalili za kuvuta attention ya watu...???
 
Last edited by a moderator:
Pia ongeza ibada na uendelee kumtumainia Mungu.Na huko kwenye ibada omba Mungu akuhurumie upone kabisa.kwa kuwa unekuwa shujaa ktk hilo vivyo hivyo uwe shujaa wa Imani.
 
Mm nipo tayari Ila upo tayari tukapime nihakikishe kama kweli unao???
 
Umesoma wapi wewe!? Unapingana na wanasayansi wote wa dunia hii, tupe facts!

Kweli ni kuwa hakuna huyo kirusi, ila ukimwi uko japo hausababishwi na huyo kirusi kama dhana ya watu ilivyo. Binafsi nlipata taarifa hizi hapa jf nkafanyia uchunguzi ndani ya mda kiasi na kupata fact ya hii kitu. Kweli watu kuelewa ni kazi sana hasa mtu anao au ndgu zake wanaoumwa hili gonjwa so hawezi elewa kamwe
 
Kamanda mbona unajichanganywa mwenyewe?

Hapo Juu unasema Hakuna mtu anaeishi na Virusi vya Ukimwi.





Na hapa chini unamshauri aende Hospitalini Hao wenye Virusi wako wengi.

Hivi kwanini baadhi ya Watanzania Mnakuwa na akili mbovu namna hii?

Yaani Unaskia faraja sana kumfanyia kebehi mgonjwa namna hii sio?

Na Wewe iko siku Balaa hii itakukuta kisha ufanyiwe Mzaha na Watoto wako hivi hivi.

Dagaa mmoja usie na huruma we.

Hujaelewa hiyo sentensi yake, ila kirus wa ukimwi hayuko
 
Super woman and courageous. May our Mighty God brings to you the rib of your rib. All the best. She is serious and expecting the same. Mabazazi kaeni kando.
 
Pia ongeza ibada na uendelee kumtumainia Mungu.Na huko kwenye ibada omba Mungu akuhurumie upone kabisa.kwa kuwa unekuwa shujaa ktk hilo vivyo hivyo uwe shujaa wa Imani.

Mungu hadi amuombe ndio apone? Kwani Mungu hajui kua mtu anahitaji kupona amponye au anataka aombwe kwanza?
 
Hakuna ktk dunia hii anaeishi na virusi vya ukimwi, wala kirusi chenywwe hakipo.

Duniani kuna watu wanaishi na ukimwi (upungufu wa kinga mwilini) tu.

Najua hutanielewa.

Najua unaweza kupata wazo bora toka kwa mtu asie na akili kama wewe, point yako inaweza kua na maana kama ungeielezea.

Huwa najiuliza hivi kweli ukimwi upo au haupo ni story za kutunga, ukishaona kitu kina conflicting statements ujue kina mushkeli eiza kimekuzwa sana kama kipo au hakipo kabisa ni cha kutunga.
 
Kamanda mbona unajichanganywa mwenyewe?

Hapo Juu unasema Hakuna mtu anaeishi na Virusi vya Ukimwi.





Na hapa chini unamshauri aende Hospitalini Hao wenye Virusi wako wengi.

Hivi kwanini baadhi ya Watanzania Mnakuwa na akili mbovu namna hii?

Yaani Unaskia faraja sana kumfanyia kebehi mgonjwa namna hii sio?

Na Wewe iko siku Balaa hii itakukuta kisha ufanyiwe Mzaha na Watoto wako hivi hivi.

Dagaa mmoja usie na huruma we.

Inawezekana mhusika alikuwa hajselewa hvyo baada ya wewe kutafsiri wewe ndo umefanya aumie na umemuumiza.sijasifu alichoandika huyo jamaa ila ukilirudia tusi wewe ndo umetukana.
 
Fadhili zake ni za milele

Haja ya Moyo wako itatimia tu!
 
Kuna mtu humu asubuhi aliandika anatafuta mke mwenye VVU sasa si mpatane muanzishe family
 
Back
Top Bottom