Natafuta muchumba wakuwowa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta muchumba wakuwowa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kikelelwa, Apr 25, 2011.

 1. K

  Kikelelwa Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Sifa:
  Mkristo.
  25 to 32yrs of age.
  I dont care whether working or jobless.
  learned(some people are educated but not lerned).
  God fearing.
  Awe mkazi wa Iringa.
  PMs are welcomed.
  Sababu: Mke wangu mtarajiwa amenisaliti baada ya kuhamia Iringa Kikazi, This is the most painful expirience I have ever had In my life.
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  lipo jukwaa la love connect, ur are new here though!
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole kwa kusalitiwa. Bt kwa nini ucmpe nafasi huyo mke mtarajiwa ya kutubu dhambi yake? Umemwuliza sababu ya kukusaliti?? Mpe nafasi nyingne kama ni kosa la kwanza. Jaribu kumsamehe mwenzako!
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  pole kwa kusalitiwa..
  tulia kwanza ujipange..
  halafu lugha uliyotumia kuwa unatafuta muchumba wa kuwowa wakisikia wenyewe waolewaji watamind!
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  pole kwa kusalitiwa pia nakutakia kila la kheri ktk kumpata huyo my wife wako mpya
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuh hayo ndiyo maisha kusaliti na kusalitiwa.
   
 7. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!!Hivi mbona siku hizi hii mambo kuwowana inakua kirahicrahic hivi imeekaaje hii ?halafu unataka kujiaminisha kua mke au mume wa kukutana nae kwenye mitandao humu ndio aje kua right choicer wako duuuh!!mara chache sana kufanikiwa kumpata mwenye vigezo unavyo vihitaji.
  Unaweza kukuta mtu linamihoja ya laana na sauti matata sasa omba ukutane nae hehehee!!huwezi kuamini kua ndiye uliyekua unawasiliana nae ndio huyo... kama likifaru shortly ''mvuto ziro '' wakati we ushapata hasara ya muda pengine hata pesa .

  Ushauri:_Zidi kumuomba mungu siku moja akupe kilicho chako,pia kipitie chanzo kilichosababisha wewe usalitiwe na ukifanyie kazi.

  Hawa wadada wakwenye mitandao ndio haohao tunaokutana nao huko mitaani kwetu hakuna anaeishi mbingu humu.
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  usimtishe bwana watu wanapata wenza kwenye mitandao na wanaoana na ndoa zinadumu,ila sidhani kama wabongo tumegfikia hatua hiyo ya kutafuta wenza kwenye mitandao jamani.......ila umeniacha hoi sana na likifaru a.k.a mvuto ziro hahahaahahahah!
   
 9. m

  mkwega Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah noma m2 km kifaru hahaha
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hiyo title iko sawa au naota ndo nini maana ya ke???
   
 11. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  DA huyu anacheza na maneno haya - hajui yana uzito wake. Sijui kama atapata wa KUMUWOWA bali nafikiri wengi watajitokeza wa KUWAOA
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ha ha hapati mtu hapa kwa hiyo lugha.......................
   
 13. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold kuna utata!!
   
 14. K

  Kikelelwa Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Am here to make a reminder, am still single and looking!
   
 15. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Try another forum
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Haya ndiyo matatizo ya kukaa kwenye kituo cha mafuta masaa matatu!!! Halafu ukaamua kwenda baa ya jirani kusubiri!!!!
   
 17. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nimecheka sana jamani
   
 18. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  hahahaaaa, atakuwa anatokea nyanda za juu kusini si kosa lake. Mzima wewe lakini? Ntaku PM, ila usiulize swali hapa
   
 19. s

  stambuli Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  duh,pole ila wakristo hawaoi wake wawili,nashauri upate ushauri kwa viongozi wa dini,
   
Loading...