Natafuta mtu wa kunishika mkono

Mkuu ameomba mtu wa kumshika mkono, Au ww unahs kuuza uji mchezo 😂🙌 sio rahsi kama unavodhani
 
Mkuu nimependa hili wazo
Mungu akubariki

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
samahani,umesoma SUA?
 
Huyu dada yuko serious. Nmeona sehem pia akiomba mtu ampatie connection ya kazi, nyie mnaosema sijui tapeli sijui kitu gani mna uhakika na myasemayo.

Jaribuni kuwasaidia watu wenye uhitaji kwa moyo na sio kuwaza upumbavu muda wote.
 
Wewe ungeshauri afanye nini? Mwenzio kampa ndoano si samaki. Kwenda au kutokwenda kuvua samaki ni juu yake. Kupata au kukosa samaki ni matokeo tu maishani asikate tamaa bila kujaribu.
Kuna mengi ya kukuliza kabla hujatoa wazo flani,
Je berylyn unaishi na wazazi Au umepanga?
Je hiyo biashara anayoisema ni Rafiki kwako?
Je mtoa wazo unazifahamu changamoto za hiyo biashara?
Je berylyn ataweza fanya hyo biashara kulingana na future plan zake?
Pia sawa ndugu RRONDO
Umetoa wazo je kwani Kuna ubaya Gani pia akisaidiwa kuongezewa mtaji? akafanya biashara nzuri zaid Au akapatiwa connection ya Kazi?
 
Unaweza kufanya kazi gani??
 
Kwa hiyo email yako huwezi kuweka kwa sababu ina majina yako mawili halisi, na ni njia rahisi ya kufikiwa!!

Sasa hiyo namba ya simu uliyoweka si ndiyo njia rahisi zaidi kufikiwa! Maana itakuwa imesajiliwa kwa alama za vidole!! Au unatumia namba ya mtu mwingine, kinyume cha sheria? 🤔 .......!!!!
 
Huyu dada yuko serious. Nmeona sehem pia akiomba mtu ampatie connection ya kazi, nyie mnaosema sijui tapeli sijui kitu gani mna uhakika na myasemayo.

Jaribuni kuwasaidia watu wenye uhitaji kwa moyo na sio kuwaza upumbavu muda wote.
Mungu akubariki

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Ninamaanisha kwamba mtu akitaka kukusaidia Ni rahisi kukupigia kuliko kukutumia email.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Mwenda bure si sawa na mkaa bure...

Vijana waliomaliza chuo wanapata shida sana kuingia kwenye soko la ajira na serikali yenyewe ikitoa ushauri simple tu kuwa vijana wajiajiri...

Nikutie moyo tu binti, penye nia pana njia naa utafanikiwa...
 
Haya ndio ulitakiwa uyaseme sio kumbeza alietoa wazo la kuuza uji. Ni mjadala huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…