Natafuta mtu wa kunifundisha Excel (complete), ntamlipa

Planet Data bundles

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,275
Reaction score
4,080
Kichwa cha habari cha husika!!

Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue

Malipo
-Malipo yapo tutakubaliana nimlipaje
 
Naumri wote huo hujui excel, shida sana!
 
Kichwa cha habari cha husika!!

Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue

Malipo
-Malipo yapo tutakubaliana nimlipaje
Tumia YouTube itakusaidia sana mkuu. Alafu Excel ina functions nyingi kulingana na changamoto unazokutana nazo na nature ya biashara/shughuli husika.
 
Kitu gan labda maana nachotaka kujifuza hapa mostly si kujaza data ila kutengeneza formula na coding tofauti tofauti!!!…
Ivyo ni vigumu huyo jamaa anajua shortcut zile na function na formula kazi kucopy na kupaste .
Ivyo unavyotaka kujifunza ndo vigumu maana taasisi nyingi watu wanakuta izo formula zipo tayar wanajaza date hamna ugumu wowote ni speed na kutambua shortcut
 
Kichwa cha habari cha husika!!

Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue

Malipo
-Malipo yapo tutakubaliana nimlipaje
Huyu Mwalimu umejaribu kuwasiliana naye?

asante lakini naona kama hawa ni online learning!! Kitu ambacho ni kigumu afu cjui hata wapo nchi gan
 
Back
Top Bottom