Siwezi kutumia tablet natafuta wa kubadilishana nae na simu ya kawaida

Mkushi Mbishi

Member
Sep 30, 2018
68
125
Wakuu
Nimepewa zawadi ya Vodafone smart tab 3g nd6o ninayoandikia huu Uzi

Natafuta simu ya kawaida yeyote ila iwe haina tatizo maana tablet yangu haina ttzo lolote

Tubadilishane

Ama kama unataka kununua weka dau lako ila kubadilishana ndyo lengo

0657 739713
Whatsapp/call or sms
 
Attachments

stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
874
1,000
Wakuu
Nimepewa zawadi ya Vodafone smart tab 3g nd6o ninayoandikia huu Uzi

Natafuta simu ya kawaida yeyote ila iwe haina tatizo maana tablet yangu haina ttzo lolote

Tubadilishane

Ama kama unataka kununua weka dau lako ila kubadilishana ndyo lengo

0657 739713
Whatsapp/call or sms
Hiyo sio tablet, tablet huwezi ishika Kwa kutumia vidole viwili hiyo Nokia Ya tochi tu, tablet wanashika Kwa mikono miwili, wewe unaweza shika laptop Kwa vidole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
Hebu tuanzie hapa kwanza

1. Walipokupa walikwambia ni tablet?
2. Ulienda umevaaje?
3. Aliyekwambia hivyo alikwambia maneno gani mengine?

Wakuu
Nimepewa zawadi ya Vodafone smart tab 3g nd6o ninayoandikia huu Uzi

[SIZE=16x]Natafuta simu ya kawaida yeyote ila iwe haina tatizo maana tablet yangu haina ttzo lolote [/SIZE]

Tubadilishane

Ama kama unataka kununua weka dau lako ila kubadilishana ndyo lengo

0657 739713
Whatsapp/call or sms
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom