Natafuta mtu anayeweza ku connect free internet kwa Android

Guys nani kawaambia kuna vitu vya bure hapa duniani. Iyo internet.org au freebasics kama inavoitwa siku hizi ni majanga. Wanafanya kitu kinaitwa "data mining". Tokea lini kampuni ya mabilioni mfano fb ikaanzishwa just to serve people for Free?????
Tapatalk Cloud - Downlaoad File main-qimg-f40df47e5015f6714ada5792793ffd48-c.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File main-qimg-e0a2de6ae6aa965d0228fc2be17181e4-c.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File main-qimg-f2495294f8aa1fbb9146a9d94d492dbc-c.jpg

Kwangu zimegoma kufunguka mkuu unaweza kunielewesha kiongozi...?
 
Ha ha ,:D:DPole sana mkuu kwann unachangia thread kama hiz wakat kichwan unajua knowledge ya networking huna?. Nenda kachangie thread za udaku na mabongo fleva, mbona zipo nying tu
Watu wa hivyo usipigizane nae kelele, mengine huwa ni kimya kimya, sasa hivi vitoto vya shule ni vingi humu vipo likizo.
 
Back
Top Bottom