zeromagic
Senior Member
- Sep 14, 2016
- 186
- 67
Kwel haiweztusidanganyane proxy server haiwez kukupa free internet...
Tusidanganyane kabisa[emoji57]
Kwel haiweztusidanganyane proxy server haiwez kukupa free internet...
Ha ha ,😀😀Pole sana mkuu kwann unachangia thread kama hiz wakat kichwan unajua knowledge ya networking huna?. Nenda kachangie thread za udaku na mabongo fleva, mbona zipo nying tutusidanganyane proxy server haiwez kukupa free internet...
nazitumiaWe unaitumia
Hii inawezekana vipi huna bundle alafu unaingia kwenye link na ikakubali mkuu?!simple tu ndugu,ni hivi
nenda kwenye browser yako unayoitumia ya internet kwenye simu yako halafu andika 'www.freebasics.com',ukishaiandika click,itafunguka hata kama simu haina bundle,ikishafunguka utaona link mbalimbali zinaonekana kama vile zoomtanzania,jamiiforums,bbc swahili na nyingine nyingi sana za free,ukishaziona unafungua unayotaka unatiritika tu,tokea nilivyoujua huo ujanja sijawahi kuweka bundle ya interner kwa ajili ya hizo links,cha msingi simu yako iwe na uwezo mzuri wa internet angalau wa 3g,ikikubali usisahau kunitumia muda wa maongezi kwa kukupa maujanja haya,jaribu mkuu halafu uje unipe mrejesho
Simu 2000 net yake kama kinyongamnapata shida zama hii ata jero ya bando.nenda simu 2000 net bure
Piga 100Anayeweza ku connect free internet kwa Android
""E="steveachi, post: 18863909, member: 59397"]simple tu ndugu,ni hivi
nenda kwenye browser yako unayoitumia ya internet kwenye simu yako halafu andika 'www.freebasics.com',ukishaiandika click,itafunguka hata kama simu haina bundle,ikishafunguka utaona link mbalimbali zinaonekana kama vile zoomtanzania,jamiiforums,bbc swahili na nyingine nyingi sana za free,ukishaziona unafungua unayotaka unatiritika tu,tokea nilivyoujua huo ujanja sijawahi kuweka bundle ya interner kwa ajili ya hizo links,cha msingi simu yako iwe na uwezo mzuri wa internet angalau wa 3g,ikikubali usisahau kunitumia muda wa maongezi kwa kukupa maujanja haya,jaribu mkuu halafu uje unipe mrejesho
"
Kwa freebasics kuna sites maalum sio kila site utaweza kuperuzi mkuu.
Au ukishafungua hiyo address utaweza kufanya chochote kwenye internet kiongozi...?
sasa google umeifunguaje mkuu bila bandoasanteni, wajameni freebasic nakula net bila bundle ila wasap nimeshindwa kupata
sasa google umeifunguaje mkuu bila bando
Kwangu hiyo freebasics mbona inagoma?
asanteni, wajameni freebasic nakula net bila bundle ila wasap nimeshindwa kupata
Kwangu hiyo freebasics mbona inagoma?
sasa google umeifunguaje mkuu bila bando
hy proxy server naipatajee mkuu nainafanyaje kazi mkuu..Tumia App, psiphon au proxy Droid. baada ya kupata proxy server ambayo itakuwezesha kupata internet free