Natafuta mteja wa vanilla iliyokaushwa

Kamnyomo

Senior Member
Apr 4, 2020
120
174
Habarini members.

Kuna mzigo wa vanilla safi iliyokaushwa vizur unatafuta mnunuzi/mteja.

Kiasi kilichopo:Tani 40

Bei kwa kilo : Tsh1,100,000/= (negotiable)

Mahali mzigo ulipo: Comoro

Mzigo unafika mahali popote ukihitaji karibu PM for more details
IMG-20220708-WA0001.jpg
 
Vannila ya Comoro ni tenda ya mtu mmoja tu amepewa na serikali kwa ajili ya ku-export nje,
wewe umeipataje tani 40?
 
Vannila ya Comoro ni tenda ya mtu mmoja tu amepewa na serikali kwa ajili ya ku-export nje,
wewe umeipataje tani 40?
Now washatoka huko kwenye monopoly buyer kila mtu anauza popote ambapo pana tija.
 
Daah,

Kuna watu dunia hii hata wakichomwa moto baadae ahueni kuliko wale wenzangu na mimi tunaoijua bilioni kwenye vitabu pekee.
 
Una mteja?

Mteja wa nini?
Mimi ninachosema hiyo Monopoy imetolewa lini maana kampuni ya AGK ndio yenye tenda ya Vannila kupeleka nje na hakuna kitu mwanachi wa kawaida anaweza fanya, ishu ya Vannila kule sio kitu cha mchezo.

Wewe ukisema una tani 40 zipo ndani lazima tupate mashaka kidogo.

Ninachofahamu mtu akijitahidi sana kununua kwa magendo hiyo Vannila hawezi kupata zaidi ya kilo 1 tena hapo ni kivumbi na jasho, ndo iwe tani 40!?
 
Mie nimekwambia mzigo upo ww tafuta mteja aje aone mzigo tufanye biashara
 
Mpelekee Simon Mkondya wa Vanilla Village..

Kawamaliza wana njombe now kahamia Zanzibar..
 
Back
Top Bottom