Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,635
- 46,113
Dogo wa miaka 15 amekuwa Millionaire Jana kwa kucheza game ya fortnite.
Nafikiri mleta mada ameona hio ishu akaona kama kuna fursa pengine
Yaani fursa hizi
Dogo wa miaka 15 amekuwa Millionaire Jana kwa kucheza game ya fortnite.
Nafikiri mleta mada ameona hio ishu akaona kama kuna fursa pengine
hahahahahahaha katika hizo mkuu, game moja tu hapo ndo sijamaliza na sijisikii kuendelea nayo, Far Cry 3. Nimeishia mission ya kuchoma mashamba.EEewah
kama ningekuwa mtoa mada, ningekupa chaguo la kwanza kwenye list yangu
Wapo!hakuna mtaalam wa namna hii
ila kuna mtaalam wa game flani
mimi niko fiti kwa Euro Truck Simulator 2 , nije PM ?
😂 😂 😂 😂 😂TUNAOCHEZA GAME LA NYOKA JE....USAHILI UNATUHUSU??
M-ccm bwanaKweli maisha yamebadilika hadi kucheza Games Kumekuwa kazi
Nyie watu mnanifurahisha sana aiseeMimi mkali kwenye watch dogs najua jinsi ya kuwakimbia polisi kwa miguu wao wakiwa na magari
Unasemaje?
bro nisaidie setup zake mm nilipiga window nikaifutahakuna mtaalam wa namna hii
ila kuna mtaalam wa game flani
mimi niko fiti kwa Euro Truck Simulator 2 , nije PM ?