Natafuta mtaalamu wa kucheza games za Pc

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,743
2,000
Dogo wa miaka 15 amekuwa Millionaire Jana kwa kucheza game ya fortnite.

Nafikiri mleta mada ameona hio ishu akaona kama kuna fursa pengine

IMG_0183.jpg

Yaani fursa hizi
 

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
609
250
Kwa aliyeko maeneo ya sinza tusaidiane kupata game za mission
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom