Kweli maisha yamebadilika hadi kucheza Games Kumekuwa kaziHabari, natafuta mtaalam wa kucheza games za Pc awe mtaalamu kweli mwenye kichwa chepesi. Anicheki PM tuangalie tutafanya vipi kazi.
Dogo wa miaka 15 amekuwa Millionaire Jana kwa kucheza game ya fortnite.Kweli maisha yamebadilika hadi kucheza Games Kumekuwa kazi
Duh nomaDogo wa miaka 15 amekuwa Millionaire Jana kwa kucheza game ya fortnite.
Nafikiri mleta mada ameona hio ishu akaona kama kuna fursa pengine
Upo nyuma sana chiefKweli maisha yamebadilika hadi kucheza Games Kumekuwa kazi
hakuna mtaalam wa namna hiinatafuta mtaalam wa kucheza games za Pc
hahah Euro truck simulator ni game ya kawaida sana bro. tena uwe mpolehakuna mtaalam wa namna hii
ila kuna mtaalam wa game flani
mimi niko fiti kwa Euro Truck Simulator 2 , nije PM ?
😂😂😂😂 hajatoa exceptions sasahahah Euro truck simulator ni game ya kawaida sana bro. tena uwe mpole
hahahahaha mkuu wewe unataka game ipi?hahah Euro truck simulator ni game ya kawaida sana bro. tena uwe mpole
games za mission naona zina ugumu kidgo, cheza hata MAFIA III utapima uwezo wako kwenye video gameshahahahaha mkuu wewe unataka game ipi?
Ni kweli ila sidhani sisi wa Euro truck tunahusika na tangazo lake😂😂😂😂 hajatoa exceptions sasa
Hapo tupo pamoja ndo game pekee nalolipenda likifuatiwa na draft pamoja na zumahakuna mtaalam wa namna hii
ila kuna mtaalam wa game flani
mimi niko fiti kwa Euro Truck Simulator 2 , nije PM ?
subiri tungojee ajira kwa mtoa posti aisee, unga telaHapo tupo pamoja ndo game pekee nalolipenda likifuatiwa na draft pamoja na zuma