Natafuta msimamizi wa shughuli zote za shamba

Natafuta msimamizi wa shughuli zote za shamba

Kumi4

Senior Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
102
Reaction score
110
Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani).

Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba kimoja na mboga. Shamba lina Maji (Visima viwili), HAKUNA UMEME.

MHITAJI MWENYE MKE NAMPA KIPAUMBELE, UKIWA PEKE YAKO BILA MKE MSHAHARA NI NUSU (60,000).

Akiwa mtu wa Shinyanga, Mwanza au Tabora itakuwa vizuri zaidi.

Wa kunielewa hapa atakuwa kaelewa nataka mtu wa aina gani.
Nawakilisha.

Nitafutwe kupitia 0653828027.
IMG_20210829_132412.jpg
IMG-20211011-WA0002.jpg
 

Attachments

  • IMG_20210829_131834.jpg
    IMG_20210829_131834.jpg
    1.7 MB · Views: 32
  • IMG_20210829_131413.jpg
    IMG_20210829_131413.jpg
    2.2 MB · Views: 35
  • 20190724_142028.jpg
    20190724_142028.jpg
    972.3 KB · Views: 30
Kwa nini atokee mikoa hiyo mzee, kuna kijana katokea Tanga usambaani huko milimani anapiga kazi sana.

Anaweza tokea huko na kazi asipige sura sio roho.
 
Kila naposoma uzi vizuri naanza kuchoka mimi..
Mshahara 60k
Mara kuna ekari 6 za kulima
Doooh oky ngoja tuone..
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom