yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Natafuta msichana mrembo nitakaezaa nae mtoto mmoja ...... maslai ni kama ifwatavyo
1. Katika kipindi cha miezi tisa ya ujauzito nitamlipa sh 10000 kwa siku sawa na laki 300,000 kwa mwezi hadi atakapo jifungua
2. Baada ya kujifungua mtoto nitamlipa sh 17000 kwa siku sawa na sh laki 510, 000 kwa mwezi
3. Matibabu ya mtoto hayatahusiana na kiasi hicho cha fedha pamoja na mavazi kwa kwani nitagharamia mwenyewe kiasi hicho hasa kitahusu chakula cha mtoto na mahtaji madogo madogo
4. Mtoto atakaa kwa mama yake kwa miaka 3 tu na baada ya hapo nitamchukua na kuishi nae
5. Nitagharamia kumpangia chumba mama mtoto wangu kuanzia siku atakapojifungua mpaka pale nitakapochukua mtoto
6. Baada ya kumchukua mama wa mtoto ataruhusiwa kumtembelea na kumsalimia mwanae pindi akijisikia kufanya ivo lakini c kumchukua kwenda poppte
Kipaumbele kinatolewa kwa msichana ambae itakuwa ni mtoto wake wa kwanza kumzaa, lakini awe mrembo, ni dini yoyote, kabila yoyote
Note.
Sipo ama sitakuwa tayari kumuoa mama wa mtoto wangu.
Nitafute 0713332200