ambili
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 243
- 15
mimi ni mvulana, mtanashati na mpenda maendeleo aged less than 28 yrs.
Natafuta msichana wa kutoka nae weekend tubadilishane mawazo juu ya maisha, awe
1.mcheshi
2.mwenye mipango na mikakati mbalimbali juu ya maisha.
3. Umri chini ya miaka 25
Nipo tayari kumgharimia expense zote ikiwamo usafiri, misosi na drinks.
NB:
Kama una hivyo vigezo ni PM ,sina ubaguzi wa rangi, dini wala kabila karibuni sana.