Natafuta msichana for serious relationship

mwathu

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
403
210
Habari zenu, Kwa mara nyingine najitokeza mbele yenu kuwafahamisha kuwa natafuta msichana mtulivu(anaehitaji kutulia kimapenzi) mwenye wasifu ufuatao; awe na umri wa kuanzia miaka 22-26, awe na elimu ya chuo kwa ngazi ya degree, au its equivalent, ajira si lazima ila awe mtafutaji, muislam, kabila lolote, ambae hajawahi kuolewa wala kuzaa, uzuri wa wastani na haiba ya kike, asiwe mnene wa kupitiliza urefu wa wastani na mcha mungu. Mimi wasifu wangu ataujua akiniinbox, kwa alietayari naomba aniPM na naomba kwa walio serious tuuuu, narudia serious tuu. Nwasilisha hoja wana jamii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom