natafuta mpenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mpenzi

Discussion in 'Love Connect' started by Bilionea Asigwa, Apr 28, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Mimi ni kijana wa miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana.. natafuta jimama au demu anayeweza kunitunza kwani mpaka sasa sijapata kazi na sina cha kufanya hapa mjini zaidi ya kushinda humu JF na kalaptop kangu..

  kwa mwananke yeyote alite tayari kutegemewa kwa 70% tuwasiliane kupitia

  0782660072(SMS ONLY)..

  NB
  TUMIA SMS ONLY NO CALLS
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Looh, bora umekuwa mkweli
   
 3. Nizzo

  Nizzo Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  mwanaume mzima unataka kutunzwa? pambana kijana...
   
 4. Jawai

  Jawai JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Kijana tafuta kazi hata kama siyo ya kitaalam ufanya wewe ni mtoto wa kiume bana..
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh! Hali yako kweli mbaya.
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa hii si ungepeleka jukwaa la biashara?
  Maana unacho tafuta ni ATM, sio mpenzi
  Weka basi sifa zako hapo, weka na picha
  Picha weka moja umevaa, ingine hujavaa
  Kama ukiridhisha utapata hiyo sms sasa hivi
   
 7. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,595
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  The gods must be crazy
   
 8. N

  Nothing4good Senior Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha wanaume wako kibao si uolewe tu kakangu?
   
 9. J

  John Gelas Senior Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jaman jimama c ajitokeze tuu,
   
 10. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Utaharibiwa uvulana wako wewe shauri zako!!
   
 11. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  As days goes on WANAUME tunazidi kupungua.! Hivi na hiyo laptop yako ukitafuta mwamvuli na meza ukaweka kona flani hivi hapo karibu na unapoishi unashindwa kuflash, kupakua nyimbo/filamu, kuweka nyimbo ktk simu, kuuza vocha etc kweli jamani? Ama kweli ni kizazi cha DOTCOM
   
 12. j

  joze New Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio hivyo sema nn kujisahau sana wa toto wa dotcom
   
 13. j

  joze New Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usi toe namba za mtandao wa zain toa tigo
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: dah nimecheka karibia niangushe glass, dah we ni kiboko...i like ur sense of humor
   
Loading...