Natafuta wenzangu tuungane katika harakati za kutafuta kazi

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Nimehitimu shahada (degree) ya Community Economic Development (CED) hivyo mimi pia nimuhusika mkuu katika kazi za Social Works, Social science, Community fields, Community.

Development (planning, monitoring and evaluation), community projects fields.

Ukiachana na hayo kwa sasa connection ndio kitu muhimu nchini kilichosalia, hvy kama wapo ambao wamesomea field hizo related basi usisite kuungana na mm kwenye kuusaka mkate tu ili tuupate.

Nimemaliza chuo cha Ushirika Moshi (Moshi Co-operative University (MoCU).

Kama una connection zozte zile ile mashirka binafsi, yasiyo ya kiserikali ama serikalini tujulishane
Iwe kwenye social welfare departments wewe tushtuane tu.

+255765743803 whatsup only haipo hewan kwa calls
+255628849189 calls only and sms
hamicomaryrajabu993@gmail.com email yangu hii.

Tushirikiane kutafuta kazi kwa kada yetu hiyo.
 
Nakushauri ujiajiri kwasababu utapoteza muda mrefu kuwazia hio ajira na ukija kupata hio ajira utaishia kulalamikia mshahara mdogo.

Mimi nimeajiriwa nalipwa 2.4mil basic na hapo kuna allowance za hapa na pale lakini naona mshahara mdogo na upande wa kujiajiri naona nimechelewa kwasababu nina 30yrs+.
 
Halafu kichwa cha habari kwa herufi kubwa ilimradi tu Mods wapate tabu kubadili kuwa herufi ndogo.
Shule ulienda kusomea ujinga.
 
Mie nilijua kuwa utaanzisha group ama kikundi Cha wahitimu ama wanaotafuta kazi ili Hawa wanasiasa wanaosema tujiajiri watuonyeshe how to.

Wakati Kuna rc hakuteuliwa na anayo PhD alilia hadharani. Kujiajiri kwa elimu yako nako Ni kujiajiri pia
 
Nakushauri ujiajiri kwasababu utapoteza muda mrefu kuwazia hio ajira na ukija kupata hio ajira utaishia kulalamikia mshahara mdogo.

Mimi nimeajiriwa nalipwa 2.4mil basic na hapo kuna allowance za hapa na pale lakini naona mshahara mdogo na upande wa kujiajiri naona nimechelewa kwasababu nina 30yrs+.
Ajiajiri kwa mtaji upi?

Acha kazi yako umu connect yeye aajiriwe wewe ujiajiri basi
 
Kama mimi nimepata...na wewe utapata. Nimekaa miaka minne bila bila. Mwaka huu Mungu akanionekania..interview moja na hiyo hiyo nikapata kazi, basi naamini na wewe utapata. Endelea kumsihi Muumba wako kwa imani yako. Na ikitokea umepata either mtaji anza jambo hata ni dogo huku ukiendelea kutafuta kazi..anything can happen anytime. Niliwahi kufanya interview mbili tu ndani ya 4 years nyngne ni mwendo wa application letters tu basi..hadi ajira portal ilinikataa.

Lakini mwaka huu..majira na nyakati zikitimia, zimetimia..nilipigiwa simu sehemu nne tofauti ni mimi wa kuchagua niende wapi. Nakutia moyo..usichoke, pambana.

NB: Kuna watu hamna hekima katika kutoa ushauri. Mtu ana andika shida yake mnakuja na kejeli za kutaja mishahara yenu ili iweje labda?..useless!!
 
Halafu kichwa cha habari kwa herufi kubwa ilimradi tu Mods wapate tabu kubadili kuwa herufi ndogo.
Shule ulienda kusomea ujinga.

yani mtu una 30+ unasema umechelewa kujiajiri??

Huna haki ya kumshauri dogo mana hata wewe ulishakata tamaa lakini pia uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo upo chini sana.

Watu wako na 40+ na daily wanafungua biashara za kujiajiri mbaya zaidi una mshahara hvyo unaweza ukau-funnel kuwa capital, kuliko huyu jamaa ambaye yawezekana pengine hana hata ya capital.

Nashukuru MUNGU sijawahi kuwa na udumavu wa akili kiasi hiki
 
Kama mimi nimepata...na wewe utapata. Nimekaa miaka minne bila bila. Mwaka huu Mungu akanionekania..interview moja na hiyo hiyo nikapata kazi, basi naamini na wewe utapata. Endelea kumsihi Muumba wako kwa imani yako. Na ikitokea umepata either mtaji anza jambo hata ni dogo huku ukiendelea kutafuta kazi..anything can happen anytime. Niliwahi kufanya interview mbili tu ndani ya 4 years nyngne ni mwendo wa application letters tu basi..hadi ajira portal ilinikataa.

Lakini mwaka huu..majira na nyakati zikitimia, zimetimia..nilipigiwa simu sehemu nne tofauti ni mimi wa kuchagua niende wapi. Nakutia moyo..usichoke, pambana.

NB: Kuna watu hamna hekima katika kutoa ushauri. Mtu ana andika shida yake mnakuja na kejeli za kutaja mishahara yenu ili iweje labda?..useless!!

Aisee! Umeongea kwa hekima na busara sana
 
Nakushauri ujiajiri kwasababu utapoteza muda mrefu kuwazia hio ajira na ukija kupata hio ajira utaishia kulalamikia mshahara mdogo.

Mimi nimeajiriwa nalipwa 2.4mil basic na hapo kuna allowance za hapa na pale lakini naona mshahara mdogo na upande wa kujiajiri naona nimechelewa kwasababu nina 30yrs+.

Watu wenye akili kma zako uwa wanakufa maskini, we mtu kamaliza Chuo, anaanzaje kujiajiri, na miaka 30 yrs unasema umechelewa ( we sio mzima), wengine miaka 30 yrs ndo wanaanza maisha. Una mawazo dwarf sana
 
Sikutaka hata kumpa jibu langu maana sikuona cha maana alichozungumza hapo
 
Kama mimi nimepata...na wewe utapata. Nimekaa miaka minne bila bila. Mwaka huu Mungu akanionekania..interview moja na hiyo hiyo nikapata kazi, basi naamini na wewe utapata. Endelea kumsihi Muumba wako kwa imani yako. Na ikitokea umepata either mtaji anza jambo hata ni dogo huku ukiendelea kutafuta kazi..anything can happen anytime. Niliwahi kufanya interview mbili tu ndani ya 4 years nyngne ni mwendo wa application letters tu basi..hadi ajira portal ilinikataa.

Lakini mwaka huu..majira na nyakati zikitimia, zimetimia..nilipigiwa simu sehemu nne tofauti ni mimi wa kuchagua niende wapi. Nakutia moyo..usichoke, pambana.

NB: Kuna watu hamna hekima katika kutoa ushauri. Mtu ana andika shida yake mnakuja na kejeli za kutaja mishahara yenu ili iweje labda?..useless!!
Mungu huonesha ukuu wake sio mpka ashushe mvua ya hekima juu yako ..ila binafsi nimeamin katika ukuu wa mungu kupitia maneno yake na mapitio yako.
Ama hakika hekima na busara viwe juu yako
Nashukuru kwa ushauri wako.
 
Mkuu nami naungana na wewe kwenye hizi harakati za kutafuta nafasi kama mdau wa maendeleo ya jamii na usimamizi wa miradi .
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Nimehitimu shahada (degree) ya Community Economic Development (CED) hivyo mimi pia nimuhusika mkuu katika kazi za Social Works, Social science, Community fields, Community.

Development (planning, monitoring and evaluation), community projects fields.

Ukiachana na hayo kwa sasa connection ndio kitu muhimu nchini kilichosalia, hvy kama wapo ambao wamesomea field hizo related basi usisite kuungana na mm kwenye kuusaka mkate tu ili tuupate.

Nimemaliza chuo cha Ushirika Moshi (Moshi Co-operative University (MoCU).

Kama una connection zozte zile ile mashirka binafsi, yasiyo ya kiserikali ama serikalini tujulishane
Iwe kwenye social welfare departments wewe tushtuane tu.

+255765743803 whatsup only haipo hewan kwa calls
+255628849189 calls only and sms
hamicomaryrajabu993@gmail.com email yangu hii.

Tushirikiane kutafuta kazi kwa kada yetu hiyo.
Sorry guys
Ni +255628849189 namba yangu ya voda ni unreachable kwa sasa hivi
 
Wakuu,

Ninawashauri, tafuteni kazi hata nje ya kada zenu. Experience na kujifunza mambo mapya ni muhimu sana kwa soko hili la sasa
 
Back
Top Bottom