natafuta mpenzi mwenye umri kati ya miaka 18-30 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mpenzi mwenye umri kati ya miaka 18-30

Discussion in 'Love Connect' started by JONATHAN KAMWAVAH'S, Oct 10, 2012.

 1. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hi!
  Naitwa Jonathan Lucas Kamwavah's na umri wa miaka 26, Elimu yangu ni ya chuo kikuu,ni mfanya biashara mdogo na ni mmiliki wa Youth Network Development Investment iliyopo Mkuranga mkoa wa Pwani.
  Natafuta msichana mrembo mweupe mwenyesura nzuri mwenye mziwa yaliyo simama yawe makubwa au mdogo,atakaye nipenda mimi kwa moyo wake wote,atakaye weza kunieshimu na kunisamini.
  Kwa mawasiliano zaidi tumia email yangu jonathankamwavahs@gmail.com au facebook jonathan kamwavahs@facebook.com au kwa simu namba 0719 450426.
   
 2. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Aiseeee..!! Watakuja mda si mrefu..
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  ndo unamtafuta humu ndani?
   
 4. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo natafuta humu ndani,kwa msichana yeyote aliye tayari.
   
 5. mzee wa magumashi

  mzee wa magumashi Senior Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kaka kwa hvo watakuja wale vimeo wa kula fedha na kusepa...je huna means nyingne ya kutafuta?
   
 6. mzee wa magumashi

  mzee wa magumashi Senior Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  labda 2 kwa msaada nenda kwenye vyuo wanatarajia kumaliza na usikurupukie madent ya uswaz utalia mimi nakuambia..
   
 7. T

  Tetra JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kila la kheri
   
 8. N

  Neylu JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi nina vigezo vyote tatizo ni hapo kwenye ziwa a.k.a NIDO...! Nido langu ni saa nane usiku limesinzia usingizi mzitooo.. Sasa niku PM?
   
 9. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmh!Neylu kama unasema kweli powa itakuwangumu kwako kuwa nami ila mimi nina muhitaji mwenye vigezo hivyo,na nipo serious wala sitanii,pls kama yupo ajitokeze.
   
 10. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Join Date : 9th October 2012
  Posts : 6
  Rep Power : 302
  Likes Received0
  Likes Given0
  wewe ni domo zege a.ka Dhaifu.

  Nadhani Mwanaasha Bin Dhaifu atakufaa
   
 11. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  nilikuwa napita tu fb nikaona unaonejanaje. sasa naona umewaonyesha na ndani/nje kidogo. ni kwako au kwa ndugu au?

  wape info zaidi basi as umesema wewe mmiliki.
   
 12. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  mbona umempa maneno makali hivi... dhaifu kwanini????? si useme? sidhani siku aliyojiunga humu inashida. wengi wanasoma JF for years na sio members.
   
 13. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye bluu ndio issue unataka Cowbell lililosimama au lililoshikiliwa na sidiria?? Kandambili hutaki??
   
 14. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kuna mkara wa ukerewe-mwanza anasifa hizo....je nikupe namba zake ...jina anaitwa CHAUSIKU NYAMTONDO
   
 15. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajuwa watu wengine hamnazo kwenye umakini wanaweka utani,atakaye niona mi ni dhaifu kimpango wake,hata hivyo nini kazi ya mtandao?mimi natafuta msichana for ma life not for your life,jipange mzazi usikurupuke kujibu.
   
 16. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mfanya biashara mdogo na nimmiliki wa kampuni ya Youth Network Development Investment,sina pesa kivile ila nina pesa ya voucher na mboga tu.
   
 17. Kiba

  Kiba JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwana hii noma nitakusms.
   
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Sijui na mi nitangaze kwamba namiliki stethoscope!! Duh! Labda ntaokota hata mwenye kandambili.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hata hiyo pesa ya mboga na vocha inafaa baba, hali mjini imekuwa ngumu sana. Im 17, nakupm uendelee kunizoea kidogo kidogo hadi nifikishe miaka ya serikali ya kuplewa.
   
 20. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa lakini vigezo unavyo!? kama unavyo batsi wasiliana nami kwa simu no 0719 450426 au ni Pm kama ulivyo sema,lakini upo makini kwa hili au una zingua!?
   
Loading...