Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,351
- 11,172
- Thread starter
- #61
sawah...
sawah...
ahahahah...Ngoja tukutafutie dogo mwenzio....
daah...Sasa kwa hayo masharti mayb utapata wa kusaidiana na mtu. Ila wako peke yako sahau
Vyotee majina yote ya kuanza A yameshachukuliwa, booking zilifanywa mapemadaah...
kigezo kipi kigumu sana ambacho nimekiweka mkuu..
umri au jina..?
ahahahahah...Vyotee majina yote ya kuanza A yameshachukuliwa, booking zilifanywa mapema
duh...Huku jf hamna wa umri wako....huku wote wakubwa...
Na mimi natafuta mchumba mgumu kama wana hip-hop vipi naweza pata heshima ya kuwa na wewe?mi ni mgumu ka wana hip-hop so ndio mana ata jina la kigum gum
DuuuSasa kwa hayo masharti mayb utapata wa kusaidiana na mtu. Ila wako peke yako sahau
taja sifaa za mwanamke anayemuhitajiNa mimi natafuta mchumba mgumu kama wana hip-hop vipi naweza pata heshima ya kuwa na wewe?
Mchagua jembe sio mkulima.mmh...
sijakuelewa mkuu..!
nifafanulie kidogo kama hautojali..!
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
sawa mkuu..!Mchagua jembe sio mkulima.
Halafu ongea Kiswahili kaka George maana hako ka binti katahitaji Mkalimani.
Ok..ucjali,na ss tukiomba huwa tunamwomba Mungu mume na cyo mpenziooh...
kumbe WACHA MUNGU hamuruhusiwi kuwa na WAPENZI...
nilikua sijajua..!
lakini nashukuru kwa kuutembelea UZI wangu MPENDWA..!
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Usijal utampata lakn c kwa kuomwomba Mungu mpenzi hutapata kabsa...yakubd ubadilishe maomb muombe mke/mume naamini atakupa wakufanana na weweJamn me natafuta mcha Mungu, vile cjaanzisha uzi tu
Unazid kunibariki japo unazid kujitenga, cdhan kama una uhakika kwamba ww c wakufanana na mimi!Usijal utampata lakn c kwa kuomwomba Mungu mpenzi hutapata kabsa...yakubd ubadilishe maomb muombe mke/mume naamini atakupa wakufanana na wewe
Mmmmmh...mpendwa umeshamwomba Mungu??na amekuonyesha??Unazid kunibariki japo unazid kujitenga, cdhan kama una uhakika kwamba ww c wakufanana na mimi!
Si kila mara Mungu anajibu maombi kwa picha halisi wakat mwingine unahitaji tu amani ya Kristo iamue moyon kwasabab Mungu yuko ndani yako. Kwahiyo kuna mazingira ya kuvutiwa ama kuona na pakawa ndo sehemu husika ambayo Mungu alitaka upateMmmmmh...mpendwa umeshamwomba Mungu??na amekuonyesha??