Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 22...
natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo...
1:Jina lake liwe linaanzia na herufi A,hapa kuna akina Angel,Anna,Aneth na wengineo(hii ni sifa ya lazima)
2:Awe mweusi (napenda sana mwanamke mweusi mimi)
3:Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 20
4:Awe na makalio yanayoweza kumtofautisha BABA na MAMA
5:Asiwe mwanafunzi wa Sekondari au Shule ya Msingi (maana naogopa kufungwa na kufelisha watoto wa watu)
Mkuu we ni mganga?
 
Walaaa...mie mcha Mungu,mambo hayo yapo pembeni kdogo kwangu
ooh...
kumbe WACHA MUNGU hamuruhusiwi kuwa na WAPENZI...
nilikua sijajua..!
lakini nashukuru kwa kuutembelea UZI wangu MPENDWA..!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
ya inawezekana nikawa jipu
kwani jina kitu gan kila myu na jina ilipendalo na ikiwa linamana fulan kwa mtumiaji
sawa Madam...
nisamehe bure...
me nilikua na IMANI kwamba watoto wa KIKE huwa wanapenda kutumia USERNAME na AVATAR ambazo ni ROMANTIC kidogo..!
au unafanya HIP-HOP madam..!?
 
sawa Madam...
nisamehe bure...
me nilikua na IMANI kwamba watoto wa KIKE huwa wanapenda kutumia USERNAME na AVATAR ambazo ni ROMANTIC kidogo..!
au unafanya HIP-HOP madam..!?
mi ni mgumu ka wana hip-hop so ndio mana ata jina la kigum gum
 
Haijanichanganya ila niliona haina umuhimu
me binafsi naamini herufi A ina UKUU kidogo kwakuwa ni herufi ya mwanzo...
naheshimu NINACHOKIAMINI,japo watu wengine watanichukulia mtu wa AJABU kidogo katika hili..!
 
yan tatizo mashart meeengi sana mkuu! ungekuta leo napata mwenza mie looh! kigezo kimoja tu sina hapoo! UMRI UMRI UMRI .....kitoe aseee....ujue bahati hyo ingeniangukia hapo kwa hesabu za haraka haraka nina asilimia 98,,,UMRI
 
ahahahah...
kwani wewe una umri gani mkuu..!?
yan tatizo mashart meeengi sana mkuu! ungekuta leo napata mwenza mie looh! kigezo kimoja tu sina hapoo! UMRI UMRI UMRI .....kitoe aseee....ujue bahati hyo ingeniangukia hapo kwa hesabu za haraka haraka nina asilimia 98,,,UMRI

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom