Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Dogo kapata ziro kwa sababu ya mfumo hovyo wa BRN ila mkali sana nadhani uzuri nao ulichangia kufeli
Duuh...
fanya kumfungulia account humu ndani mkuu..!
au wewe unaonaje..!!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
nawezaje kuwa na mke kabla hajawa mpnz wng kwanza..!?
Unaweza coz Mungu alisema atakufanyia (msaidiz)ambaye na ni mke na c mpenz..endapo Mungu akikuonyesha na kukwambia ndyo yy na ww ukawa na amani naye,hapo ndipo process za uchumba zinaanza lakn ni baada ya Mungu kukuonyesha...
***na utamjuaje hyo mke??ni kuwa na mahusiano mazur na Mungu tuuu na mambo yote yajayo atakweleza
 
sawa Anna...
nimekuelewa...
pia nitajitahidi kufuata ushauri wako..!
 
Mmmmh..but roho mt.ahusike sasa
Roho mtakatifu yuko ndan yetu dada mzur na ndo hiyo aman, mf.Unasafir, unaweza ukataka kupanda gari flan hivi alf ukakosa amani ukaliacha then mda kidogo ukasikia limepata ajali, inakuw ni Roho mt direct hauhitaj nguvu ya ziada
 
Ok..bac mtumie huyo ili akufanikishe hitaj lako
 
Me namtumia ila nna wasiwasi na matumizi yako wew naona kama uko strict zaid, japo good sana kam umempa Mungu nafasi kubwa zaid kwnye maisha, naomba pia unikumbuke kwnye maombi yako
 
Ahahaha,hapana but ucjali nitakukumbuka Mungu akupe mke mwema na utakapomwona Roho mt akuthibitishie
 
Si kila mara Mungu anajibu maombi kwa picha halisi wakat mwingine unahitaji tu amani ya Kristo iamue moyon kwasabab Mungu yuko ndani yako. Kwahiyo kuna mazingira ya kuvutiwa ama kuona na pakawa ndo sehemu husika ambayo Mungu alitaka upate
Eeee bhana kwa Haya mashairi ushapata mzigo.Duh wee noma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom