Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

Mdogo wangu ukipata mchumba. Nami nitakuja kutafuta mke humu.

Kila LA kheri katika ombi lako
 
Mdogo wangu ukipata mchumba. Nami nitakuja kutafuta mke humu.

Kila LA kheri katika ombi lako
ahahahahah...
asante bradha Th Name...
then nmefurahi kuona umeutembelea UZI wangu...
sema UMRI wangu mdogo unaonekana ni KIKWAZO..!
 
ahahahahah...
asante bradha Th Name...
then nmefurahi kuona umeutembelea UZI wangu...
sema UMRI wangu mdogo unaonekana ni KIKWAZO..!
Pamoja sana mdogo wangu.

Kuwa mvumilivu tu. Wala usiwe na haraka mambo haya yanataka subira kidogo
 
Pole kaka yangu utampa kama huyo na mwenye sifa zotee ila roho yake itakuwa mkuk kwako.achakuchagua chagua hovyo.
 
Wewe unasifa zipi? ni vizuri na wewe ukaweka sifa ulizo nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom