Natafuta mpenzi mwanamke

Natafuta mpenzi mwanamke

Mtu anaejielewa hawezi kuandika utopolo kama wako matoto ya mitaani sijui yakoje
Tafuta mwanamke mrembo oa. Mambo ya mwanamke kuwa na ajira hiyo haitakusaidia kitu tata. Ukiendekeza hizo sifa zako utafikisha miaka 100 hujaoa. Matoto ya getini sijui yakoje
 
Sikuhizi vitu vizuri vinatengezwa havitafutwi dada. Ushauri wangu chukua non husband material na umfanye kuwa husband material. Siyo simple ila ukiwa na nia utafurahi. Ni hivyo tu.
Asante mkuu, nitafanya hivyo
 
Sikuhizi vitu vizuri vinatengezwa havitafutwi dada. Ushauri wangu chukua non husband material na umfanye kuwa husband material. Siyo simple ila ukiwa na nia utafurahi. Ni hivyo tu.
Wanapatikana wapi hao none husband material
 
Sifa zake
● Awe mrefu kiasi
● Umri kuanzia miaka 28 hadi 31
● Awe muajiriwa au amejiajiri
●Dini yeyote.
● Kabila lolote
● Awe na mtoto mmoja

Sifa za mtafutaji
●Mrefu mweusi kiasi
●Mpole kiasi
● nimejiajiri
●umri miaka 29
mawasiliano pm ipo wazi
Akipatikana maeneo haya ni sawa Geita, Mwanza na Dar es salaam
Nipo Kirumba, Mwanza kanisa la kinabii kuna piece balaa. Why utafute 28+ wakati kuna 22-24 mpya kabisaa.
 
Sifa zote nnazo,,umri tu ndo umebuma aaaah,,nisubiri bas pliz😕au ushapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom