Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,981
Kwakweli,,na umri waenda ivoooo aaaarrrggghhh ni huzuni kabisa 😂 😂Acha tu yaani, Mungu atusaidie😂😂
Kwakweli,,na umri waenda ivoooo aaaarrrggghhh ni huzuni kabisa 😂 😂Acha tu yaani, Mungu atusaidie😂😂
Hebu toka😂😂Mtoa mada hana shida na umri alishasema jana, na sidhani kama anaweza kuwa na utoto huo
Naona unataka kubaki single😂😂Hebu toka😂😂
Mimi nasubiri siku moja ajitokeze mchumba mchungaji 😂😂Kwakweli,,na umri waenda ivoooo aaaarrrggghhh ni huzuni kabisa 😂 😂
nawew una miaka mingapi?Kila la kheri, mlete mrejesho mtutie moyo na wengine
Eeeeh umenistua sasa😂😂Naona unataka kubaki single😂😂
Yooyooooo 😂😂😂😂 kwisha habari yakoMimi nasubiri siku moja ajitokeze mchumba mchungaji 😂😂
DuuhManabii Huwa wanapita nao Sana
emu piga nyeto Bwana Salum usisumbue watuE-mail address; saloomrweyongeza@gmail.com
Kwamba hakuna humu😂😂Yooyooooo 😂😂😂😂 kwisha habari yako
Mimi sijakidhi vigezo vyake baadhinawew una miaka mingapi?
Kwanin hajakuona wakat wew ni waifu material kabxaa
Hapana wapo,,humu kuna kila type ya wababa😂😂Kwamba hakuna humu😂😂
Bila shaka huna mtotoMimi sijakidhi vigezo vyake baadhi
Yeah! Mtoto sina naona yeye anataka single maza😅😅Bila shaka huna mtoto
Ngoja niwasubiri wababa wa kanisa😅😅Hapana wapo,,humu kuna kila type ya wababa😂😂
Basi niachie mimi huyoYeah! Mtoto sina naona yeye anataka single maza😅😅
utaota na mbwawa hadi manyoya ukikaa kusubiri,,we shusha uzi waje piemuNgoja niwasubiri wababa wa kanisa😅😅
Hatari sanaNina watoto watatu uyu wa mwisho baba yake yupo na mtoto bado ana nyonya
Anza wewe ukipata unitie moyo na mimi nishushe😂😂utaota na mbwawa hadi manyoya ukikaa kusubiri,,we shusha uzi waje piemu
Kimbia PM chap kabla hajanyakuliwa😆😆Basi niachie mimi huyo