Natafuta mpenzi (Mke)

Mpongolo

New Member
Feb 1, 2021
2
45
Awe na sifa zifuatazo:
Umri 20-25
Muislam
Mweupe
Mwenye elimu yeyote
Mchapakazi
Mkazi wa Dar es salaam

Umri wangu 26
Nmejiajiri fundi AC
Naishi Tegeta
Njoo pm kma upo tayari
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
6,703
2,000
Mi mwanaume
Aisee subiri! Utapata mtoto mkali balaa! Chuchu saa sita! Kiuno cha dondora! Akicheka ana mwanya! Mtoto mweupe mashallah!! Mtoto amesoma Chuo Kikuu cha Mogadishu, Somalia!

Mtoto anatoka familia ya kishua!! Familia ya Maustaadh!!mtoto ameishika dini! Yaani swala tano!! Mtoto anavaa mavazi ya kujisitiri muda wote!! Hajawahi kuguswa!! Yaani mzee unaanza mwenyewe kuchana makaratasi!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom