Natafuta mpenzi jinsia ya KIKE

Natafuta mpenzi jinsia ya KIKE

Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar.
Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar.
Mfanyabiashara.
Karibu atakayependezewa.
Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae pembeni.
Niko serious.
Asanteni
Atakayeleta dharau mshughulikie kimila
 
Kama ni wewe basi nakuja
Ungesema Tu mapema.kosa Sana kuja na id mpya
Karibu sana.....kipepeo cha moyo wangu.....
20250216_141843.jpg
 
Matamanio hayana ukomo na msiwafunge watu kwenye magereza ya fikra ZENU.....

Kwanini mnawafanya watu wazima waonekane kama mapambo ya makumbusho!!

Yaani mtu akifika miaka fulani basi akae tu kwenye Kochi akisubiria kifo kana kwamba amehukumiwa kifo!!

Mbona mtu wa miaka 50 bado angali ana nguvu zake nyingi Tu!!
Mimi mwenyewe imebaki 12 yrs kutimia 50, siamimini kama nitakuwa pambo la makumbusho kwa jinsi ninavyojiona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom