Natafuta mkopo wa tshs 500,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mkopo wa tshs 500,000/=

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by mangulumbwisi, May 10, 2012.

 1. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari wana JF, ninashida jamani ya mkopo wa laki tano, kwa anayejua ninaweza kupata kwa riba nafuu kidogo.
   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Wapo ila lazima uwe na wadhamini wa kueleweka,wawe na vi-mali fulani vitakavyomfanya mkopeshaji aridhike navyo,Pia riba hiyo nafuu unataka iwe ya kiwango gani?
   
 3. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Stephot asante kwa majibu yako! wadhamini wanatakiwa wawe wangapi? pia marejesho yanakuwaje? kwa mkopo wa laki tano, asante
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  uko tayari kutoa riba ya sh ngapi na kwa muda gani?
   
 5. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 180
  Nenda vikoba riba nafuu sana
   
 6. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  shapu nipo tayari kulipa kwa muda wa miezi minne (40 ) sijajua riba inakuwaje????
   
 7. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Riba ni 10% kaka ndiyo nafuu hiyo.ina maana kwa 500,000/= utarejesha 550,000/= baada ya miezi minne.
   
 8. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uko Mkoa gani?,
   
 9. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  nenda nmb wewe...
   
 10. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bakuza
  nipo Dar , hiyo ya riba 10% inaweza kunifaa, so itakuwaje? Mashariti ya Mkopo nk.
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  nenda nmb kama ni mtumish wa umma huna haja ya wadhamini nenda na salary slip za miez 3 ya mwisha ndani ya siku 2 unapata hela.
   
 12. s

  sanjo JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kawaida mtu anayetafuta mkopo ni muhimu kuelezea dhumuni la mkopo,dhamana ambayo unayo, uwezo wa kurudisha, utarejeshaje mkopo, vinginevyo mkopeshaji atakuwa na wasiwasi mwingi juu ya integrity and viability ya zoezi la kukopesha.
   
 13. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Sema unataka kufanya biashara gani. mimi naweza kusaidia bila riba kama kweli wewe ni mwaminifu na mwanachama hai wa JF kwa ujumla. Je vipi umesha tembelea JF SACCOS?
   
 14. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Prime asante, sijatembelea, JFSACCOSS, ila nitatembelea leo, nitashukuru endapo utanisaidia, kuhusu swala la uaminifu haina shida.Kuna biashara nilikuwa naifanya ila msingi ulikuwa mdogo . Sasa nataka nieendeleze tena kwani wateja wangu wapo mkoani wananiomba niwatumie hiyo biashara ni Vitenge vya wax original, ni PM. asante
   
 15. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu unafanya biashara ya kukopesha mali, cash on delivery or malipo kwanza then mali? If your business is still growing you have to deal with cash only. Lakini i suggest kwanza tembelea Jf Saccos from there ndio twende atua nyingine.
   
Loading...