Natafuta mkopo wa Laki saba na riba ntalipa laki 2

Oct 5, 2012
7
0
Natafuta mkopo wa Laki saba na riba ntalipa laki 2, mwisho wa mwezi huu. Dhamana niliyonayo ni kadi yangu ya NSSF ambayi ina mil.1 (hata na Passport yangu kama atahitaji).alienayo anicheki kwenye 0656 743096 fasta.
 
du,
nenda saccoss, au baycot, ila sidhani km watakubali hizo kadi km collateral.

1. Kadi unampa mtu then unaripoti polis umeibwa/ kupoteza na kupewa nyingine na wahusika,
so kumpa mtu kadi sio dili wala nini.

Mi namfaham mtu alikopa hivyo akatoa kadi ya bank, kuwa mshahara ukitoka atamrudishia.
mwenye kadi akaenda bank akiwa na lost report kutoka polis na kuchukua mpunga wake counter akamwacha jamaa na kadi anahangaika nayo.
 
Natafuta mkopo wa Laki saba na riba ntalipa laki 2, mwisho wa mwezi huu. Dhamana niliyonayo ni kadi yangu ya NSSF ambayi ina mil.1 (hata na Passport yangu kama atahitaji).alienayo anicheki kwenye 0656 743096 fasta.

karibu ofisini kwetu tunatoa mikopo ya aina hyo na utapata haraka sana kwa maelezo zaidi call 0713388226
 
Nenda sehemu walipo hawa Platnum fasta watakupa mzigo bila longolongo
 
Back
Top Bottom