Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,166
- 22,753
Mi nimejibu tu hata mtu anayezungumziwa sijamuona.
Kuna tatizo mahali maana hii si mara yake ya kwanza kujitangaza hapa. Labda January hakupata pisi za kueleweka. MD mzima pisi zimeuchuna πUmri, unaniweka nje kabisa.
Nshakosa fursaa, kwan daktaree kakosa hata mgonjwa mmoko wa kumuoa? Lol
Kabisa mkuuPata hitaji la moyo wako.
Sasa hivi kaanzia 28-35Kuna tatizo mahali maana hii si mara yake ya kwanza kujitangaza hapa. Labda January hakupata pisi za kueleweka.
Thread: Mke anahitajika
Thread: Mke anahitajika
Okay π, hamna tabu.Ooooh kama ni hivyo sawa. Kumradhi. Nlijua makusudi ulikuwa una support tabia ya huyo jamaa anayejifanya mwanamke. Otherwise for a gentle man i behave like a gentleman. Kumradhi.
Sasa hivi kaanzia 28-35
Ai wanda yeye ana mingapi daktari we
PoleSasa hivi kaanzia 28-35
Ai wanda yeye ana mingapi daktari wetu
Kabla ilikuwa 25-30
Masharti yamelegea kidogo kumbe! Do you (now) qualify Jojo? πππΏββοΈππΏββοΈSasa hivi kaanzia 28-35
Ai wanda yeye ana mingapi daktari wetu
Kabla ilikuwa 25-30
Masharti yamelegea kidogo kumbe! Do you (now) qualify Jojo? πππΏββοΈππΏββοΈ
Ulimpoteza au unawatongoza kiaina?Umechoka kufua boksa kinyemela na kuzianika chumbani kama unga?Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
πOkay π, hamna tabu.
πππππ ila gran pah.Kuna tatizo mahali maana hii si mara yake ya kwanza kujitangaza hapa. Labda January hakupata pisi za kueleweka. MD mzima pisi zimeuchuna π
Thread: Mke anahitajika
Thread: Mke anahitajika
Jamani mbna wanaonekana, mmmhwake hawaonekani
Niko juu ya 35.Unataka kusema uku chini ya 28 Mkuu?
Hongera kwa kukwepa utoto wa buku mbili.Niko juu ya 35.
ππππUlimpoteza au unawatongoza kiaina?Umechoka kufua boksa kinyemela na kuzianika chumbani kama unga?
Mie ni mzazi wa Gen Z.Hongera kwa kukwepa utoto wa buku mbili.
Hongera hongera πMie ni mzazi wa Gen Z.
Bro SweetyCandy unahisi kwann? .Wapo wakaka wengi hawajaoa kuliko wadada