Natafuta mke

Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Daktari gani umeshindwa hata kutongoza nurse mmoja hapo hospital ya rufaa uliyosema ukabeba ukaweka ndani ukala maisha?

Em acha kutuzuga bwana
 
secretarybird lile bwabwa letu unaliona, linaomba kuoa mwanaume mwenzake 🤣🤣🤣

Ha ha ha.... Mbinu yangu inafanya kazi. Nlikuambia mi ntakutovyoa kisha wewe utakuwa unatoa utomvu kila ukiona uzi wangu... Ndo napenda hivyo. Yaani ukiona tu komeo unajua limekuja kukufunga huko nyuma. Nataka nikukere tu... Ukiona ID yangu upate kichefuchefu. 🤣
 
Mkuu hata Mimi unaniita hivyo kweli?

Nmeshangaa kile ambacho ulijibu kwenye comment ya mwenzio. Nikashangaa lini mimi na wewe tumeanza kukoseana adabu. Huyo mwenzio najua tatizo lake ni nini. Ila wewe kuungana naye nikahisi ndege wa rangi moja.... Huyo mwingine tayari ana KOMEO EFFECT. Yaani akiona comment yangu au uzi tayari anaanza kutokwa na utomvu, kichefuchefu na makasiriko. Nami nliamua makusudi kumuathiri hivyo.

Namwita tena Mshangazi dot com njoo nmekujibu njoo. Utokwe na utomvu na lubricants tayari ikutoke nayo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…