Natafuta mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaNanii, Oct 18, 2008.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2008
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Yap
   
 2. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Na wewe pia toa wasifu wako ili kina dada wajue wewe ni mtu wa namna gani, una sifa au vigezo gani?
   
 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mh!!! Kazikweli kweli.....
   
 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2008
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sister mmoja alitafutiwa mme na Padre mmoja,,,, ambaye ni ndugu na huyo Padre,,,, dada akaona Padre ana busara hivi! Huyu mume ni lazima atakuwa na busara kama ndugu yake. Kwa utaalamu wa hali ya juu wa huyu Padre hawa wachumba hawakuonana mpaka karibu kabisa na siku ya harusi,,,, du Mama kijasho kilimtoka,,,, Jamaa kapinda ile mbaya,,, bila ubishi alielewa kuwa sura hii ni ya GONGO MTU. KAKANANII toa wasifu wako kuwaondolea shak hawa dada zetu,,, ikiwezekana na picha pia.
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Oct 20, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ubaguzi huo! Kwani mwenye elimu zaidi ana tatizo mkuu?
  Hapo sitii neno!
  Pia hapa sitii neno.
  Akizidi kidogo ajihesabu kakukosa?
  Mh, hapa nako nakosa la kusema.
  Wengi mnapenda ngozi ya rangi hiyo eh? Basi mambo ya rangi hayakuwa na umuhimu kabisa, ningepata cheusi poa tu, hata mzungu shwari pia mradi awe amewahi kuishi Tanzania.
  Wa Morogoro ndio hivyo wajihesabu wamekosa? Na aliyekuwa anaishi Dar na sasa anasomea huo ualimu Uingereza vipi akirudi?

  Sasa mkuu ungewapa kina dada wasifu wako kidogo ili applications ziongezeke zaidi. Hii inakuwa imekaa kimtegomtego. Maswali niliyokuuliza hapo juu yana umuhimu wake kwa wao kuchukua maamuzi sahihi pia.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Pole unayetafuta mke ndani ya mtandao. Wewe u nani!??? Weka wasifu wako hapa. Picha nisingeshauri kwa sababu ya usalama pia. Hapa jamvini tupo members wa aina zote!!!!!

  Lakini je, umeshamwomba Mungu akupe mke???? Imeandikwa 'Mke mwema hutoka kwa Mungu, bali mali na utajiri mtu hupewa na babaye'.
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Anaweza kuiweka halafu baadae anatengeneza account nyingine. Tena unaweza kuta huyu ni member wa muda mrefu hapa ;)  .
   
 8. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Pole kaka, naona wewe hutafuti mke, unatafuta kinyago kilichochongwa kwa umbo unalotaka wewe! Mke si umbo, mke si rangi kaka.

  Thread ya why women are so complicated uliyoianzisha nilidhani unapitia mapito tu yaani kumbe umeamuz kumuacha aliykufanya uanzishe hiyo thread?
   
 9. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #9
  Oct 20, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kaka nanii kule chezasalama kuna dadananii kumbe yule alikuwa sio wako
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  "nyaunyau" ..mmh! this is not attractive at all .. Dr. manyaunyau ??
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una maana sanamu ya Michellene!!
   
 12. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  What is wrong with we human beings?

  Jamaa kaandika anatafuta mke. Period. Kasema mwenye vigezo amuandikie, katoa na anuani ya pepe. Sasa watu hapa mnakuja na issue zenu mnaanza kumponda mshkaji. Jamani hii ni halali kweli? Wewe kama unafaa..test the ground by writing him! Au kama vipi na wewe uweke vigezo vyako vya unayemtaka hapa!

  Eti mke mtu anapewa na Mungu. Maybe Yes, maybe not. Kwanini unataka kila mtu aamini unavyoamini wewe? kama wewe ni mkristo..well and good, ila siyo kutaka ku-impose imani yako juu ya wengine.

  Ohh sijui jamaa ni mbaguzi...kwa kuweka vigezo..ohh ni mdini..nk..jamani wats wrong? si kila mtu ana haki ya kuchagua anachoona kinamfaa? Mimi ni msukuma..does it mean nikitaka mke msukuma ni ubaguzi kwa vile sikuoa mchagga au mmakonde? I have a right to say I want a white, black, short, tall, etc..woman! Si ndo maana ya uhuru wa kujiamlia mambo binafsi? au?

  Mnataka kuniambia kwamba kwa waliooa mlioa tuu ilmradi bila kuwa na vigezo? jamani tuheshimu haki za watu kujichagulia wanalolitaka. Naamini huyu jamaa hapa hajafunja sheria yoyote. Ni vyema tukachangia constructively..tusiwe na prejudices na stereotypes...Eti mtu hupata mke mbinguni? Thats religous part of the bargain which is not necessarily true to others.

  Kama wewe unaona jamaa amekosea. Na wewe weka vigezo vyako vya mwanamke/mwanaume unayemtaka! Period.

  Stereotype ni mbaya sana...
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Oct 20, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu kaka nanii alikuwa ni mwanachama wa ChezaSalama - Home - hapo alitangza kutaka mke akapata anayeitwa dadananii , sasa leo iweje atake mke mwingine ? basi aseme ndoa ile ilishaakufa miaka 2 iliyopita na sasa anataka mwingine

  ila aangalie asije kukaangwaa roho yake
   
 14. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kakananii, hakuna ajizi jichagulie tu...whatever you want is up to you...lakini ngoja nikushtue kidogo...unaweza ukapata huyo ambaye si mnene saaana, ila baada ya mzao mmoja tu akafutuka huyo, si unajua tena maswala ya mtori wa mzazi...bongo ni wachache sana wanaozaa na kurudia figa zao za awali
   
 15. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2009
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  well said ma dear.
   
 17. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Kwi!Kwi!Kwi!Kwi!Kwi!Kwi!Kwi!Kwi!...kaka Masanilo unatuvunja mbavu!
   
 18. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bro Masanja mbona umewaka hivyo ndugu yangu? Members wanampa changamoto bwana Kinyaunyau ndugu yangu, kwani ni mbaya hiyo ati?
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  NL, huyu mkuu ndiyo zake hizo za kulipuka na kuwaka kulazimisha fikra zake, fatilia posts zake!! Mara zote huwa yuko hivyo
   
 20. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo!!
   
Loading...