Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Unaishi kisiwani peke yako? Umekosa mtaani kwako, kazini kwako, kwenye nyumba ya ibada ya imani yako?
Anyway kila la heri,ila usijistress sana mkuu π
Mkuu hivi umeisoma mada na kuielewa?Unaishi kisiwani peke yako? Umekosa mtaani kwako, kazini kwako, kwenye nyumba ya ibada ya imani yako?
Anyway kila la heri,ila usijistress sana mkuu π
Pesa si utatuma mtandaoni??
Mbona hiyo rahisi kiongozi njoo, tena tuanze na mchezo wa kulipiziana..!!
Unanitumia laki na mimi nakulipa nakutumia laki mbili π
Shem hapo kwenye afu 2 ongeza kiwango iwe hata afu 5, si unajua kuna vpn inalamba mb nyingi..!! πΉπΉππππππ.
Alaf Iweke vizur shem.
Namna hii.
Vifurushi vya mapenz JF.
1.Siku -2,000
2.Wiki - 15,000
3.Mwezi - 50,000
(Unamuanzishiwa uzi 3 zinazokuonyesha mahaba kila siku, tag 10, kujibu uzi zake mara 10 na kulike kwaπ kwenye kila post anayotuma au kureply)
Je ? Hii package unaionajeππππ.
Iko realistic na reliable?
Kuanzisha uzi wa kumsifia 20,000
Uzi wa kumtakia asubuhi njema 10,000
Uzi wa kumkumbusha kula 15,000 ( hii ipo ki-afya zaidi)
Uzi wa kumnyegesha usiku baada ya uchovu wa kazi 30,000