Nipo rada bwashee 🤣🤣🤣
hii dunia kila kukicha kuna mshamba mmoja anaingia mjini!...
Hbari za majukumu ndugu,
Maisha yanabadilika kila kukicha na kukaa kimia bila kushirikisha walimwengu jambo lakohuku unasumbuka ni uzembe,
Mimi naombamsaada kwa mtu yoyote mwenye ndugu, jamaa au rafiki anayemwamini kuwa ana faa kuwa mke anisaidie kunikutanisha naye, hata kamanimwanachamawa hapa jf umesomaujumbe huu ni upo tayari pia naomba hata wewe mwenyewe tuwasiliane tufahamiane.
Nakutana na wasichana wengi ila kuna aina ya mke nayemtaka bado sijampata, dini ni mkristo,kabila lolote ila muhimu nitazingatia tabia, kweli na mapenzi ya kweli, umri kuanzia 21 - 32. mimi nina 38.
Hata akiwa binti wa kijijini kabisa au hata housegirl wako ambaye unaona anafaa kuwa mke mimi nipo tayari kama akiwa na sifa, akiwa msomi hata phd au CPA pia sawa, awe na kazi au biashara ama hana pia sawa,
Kimaisha na uhakika wa kumtunza na kumpatia kila kitu kama mke.
Naomba tuwasiliane whatsApp kwa maelezo na maswali zaidi.
0661 309 830
Vipi aliyezaa mtoto m1? Anafaa pia?
Aliyeachika vipi?
Hapa JF wapo wa hivyo tuu.soma vizuri maelezo yangu mkuu
Ngoja nikuletee mtoto mbichiiii. Kaa kwa kutulia sasa,kama ana vigezo vingine ni sawa
sio kila mwanamke ni mkeWanawake wanakukimbia
Ama unachagua sana?
Piga simu haraka uolewe. Mtoto mmoja kitu gani! Tutampaleka kwa bibi Namtumbo. Nikiwa kama kaka yako ninapendekezela ukaanze maisha mapya ya ndoa na huyu kijana. Kama ni raha za dunia zote umezipitia. Hivyo hakuna jipya. Nenda ukatambulike sasa kama Mrs. True Man11Vipi aliyezaa mtoto m1? Anafaa pia?
Mkuu wasichana wamejaa huko uliko hujampata hata moja? Basi Una shida sanaHbari za majukumu ndugu,
Maisha yanabadilika kila kukicha na kukaa kimia bila kushirikisha walimwengu jambo lakohuku unasumbuka ni uzembe,
Mimi naombamsaada kwa mtu yoyote mwenye ndugu, jamaa au rafiki anayemwamini kuwa ana faa kuwa mke anisaidie kunikutanisha naye, hata kamanimwanachamawa hapa jf umesomaujumbe huu ni upo tayari pia naomba hata wewe mwenyewe tuwasiliane tufahamiane.
Nakutana na wasichana wengi ila kuna aina ya mke nayemtaka bado sijampata, dini ni mkristo,kabila lolote ila muhimu nitazingatia tabia, kweli na mapenzi ya kweli, umri kuanzia 21 - 32. mimi nina 38.
Hata akiwa binti wa kijijini kabisa au hata housegirl wako ambaye unaona anafaa kuwa mke mimi nipo tayari kama akiwa na sifa, akiwa msomi hata phd au CPA pia sawa, awe na kazi au biashara ama hana pia sawa,
Kimaisha na uhakika wa kumtunza na kumpatia kila kitu kama mke.
Naomba tuwasiliane whatsApp kwa maelezo na maswali zaidi.
0661 309 830
Isije tu ikawa unataka umpe huyu kijana wa watu yule shosti yako SweetyCandy! Watashindwana kabla hata ya kuonana ana kwa ana.Aliyeachika vipi?
Kwa hiyo matarajio yako ni kupata mwanamke ambaye hakuwahi kuachika? Unashangaza ujue!Kwanini ameachika????????????
Nakubali kaka angu, 😂😂😂Piga simu haraka uolewe. Mtoto mmoja kitu gani! Tutampaleka kwa bibi Namtumbo. Nikiwa kama kaka yako ninapendekezela ukaanze maisha mapya ya ndoa na huyu kijana. Kama ni raha za dunia zote umezipitia. Hivyo hakuna jipya. Nenda ukatambulike sasa kama Mrs. True Man11
Muhimu tu ukubali kuokoka.
Nina Dogo ni mzuri Sana, Tabia njema, mchapa kazi, msafi, Hana mambo mengi kabisa yaani Yule Dogo asingekuwa Ndugu wa Mke wangu chaap ningechukua jikoWanawake wanakukimbia
Ama unachagua sana?
😹😹 Ulijuaje?Isije tu ikawa unataka umpe huyu kijana wa watu yule shosti yako SweetyCandy! Watashindwana kabla hata ya kuonana ana kwa ana.
Mdogo wangu ondoka mjini uende Masasi ukale hela za ufuta. 😀Nakubali kaka angu, 😂😂😂
😹😹😹Nakubali kaka angu, 😂😂😂
AmenPiga simu haraka uolewe. Mtoto mmoja kitu gani! Tutampaleka kwa bibi Namtumbo. Nikiwa kama kaka yako ninapendekezela ukaanze maisha mapya ya ndoa na huyu kijana. Kama ni raha za dunia zote umezipitia. Hivyo hakuna jipya. Nenda ukatambulike sasa kama Mrs. True Man11
Muhimu tu ukubali kuokoka.