Natafuta Mke wa kuoa

Natafuta Mke wa kuoa

Huko unapokaa hakuna wanawake mpaka uje kutafuta mitandaoni? Toka out nenda restaurants nzuri, safiri, hudhuria hizi marathon n.k utakutana na unayemtaka! Kiufupi zoea kutoka usijifungie ndani kama unatamia mayai! Goodluck!
 
hao wote huko ndiyo hawa ambao wapo jf na pengine popote,
 
Isaya 4:1
“Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; lakini tuache tuitwe kwa jina lako, utuondolee aibu yetu.”
 
Back
Top Bottom