Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,737
Wacha kwanz nimalz kunyetuka na rud
Kikubwa unakojolea ndani hayo mengi hayakuhusu wewe umefuata nini si umefuata kukojoa au kuna kingine umekofuata?Saiv mtu amekuwa fisi anakula mabaki.demu analiwa na wahun alafu akichokwa ww unamuoa unakula mabaki alaf unavimba una bonge la pisi.Na taco limezwa na maziwa.
Naona ushachafua ukuta wa mwenye nyumba si ndio?Wacha kwanz nimalz kunyetuka na rud
😎 Sema nini mwanetu, mwandiko wako unaonesha wewe sio mpole, ni mkali mno (very strict)Mimi ni kijana mwenye miaka 28 sina mtoto , ni mpole na sitaki purukushani na mwanamke katika safari ya ndoa japo najua purukushani zipo ila ni zile za kiasili sio za ujinga ujinga sipendi , pia ni mpambanaji.
haujasema kama na wewe unayo hofu ya Mungu au la.NATAFUTA MKE MWEMA WA KUOA..
BINTI AU MSICHANA awe na sifa zifuatazo:
1:Mkristo na mwenye hofu ya Mungu kweli kweli na awe mkweli ..
hakuna kulaza damu, akifika tu geto ni TEGA NIKUTEGE, WEKA NIKULENGE. .4: Awe tayari kuitwa mama muda wowote na mwenye kujua thamani ya kua mke na kua mama na thamani ya mtoto na mume pia
kama nakuona vile wakati ukiandikaa hiyo kigezo yako namba 6. 👆🏽.6: Asiwe amewahi kutumia vilevi vyovyote vile na asiwe anapenda mambo ya anasa na maisha mepesi mepesi ajue maisha ni kupanda na kushuka.. ni mwiko kuwa na tamaa na kulinganisha mumeo / ndoa yako na ya watu wengine
Mkuu, una uhakika kweli unaweza kusikiliza ukishauriwa?7: Asiwe katoboa masikio zaidi ya mara moja, asiwe katoboa pua, kitovu au sehemu yeyote ya mwili wake , asiwe kachora mwili wake tatoo yeyote na asiwe mfuasi wa kucha bandia au mwenye kubadili rangi ya asili ya nywele zake na ngozi yake ajikubali alivyo umbwa
8: Asiwe mwongeaji sana wala mtu wa kukaa vibarazani ( magroup group) awe anajiheshimu na kujipenda yeye mwenyewe na awe mshauri mzuri kwangu na kwa watoto pia tutakao jaliwa
11. Awe kwenye simu yake ka-save namba zisizozidi 6 (namba yake mwenyewe, ya baba ake, ya mama ake, yangu, ya dada ake)9: Awe muwazi kwangu na msiri kwa watu wengine ajue kutunza siri za maisha ya ndoa yetu
10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe
Kama upo teyari kua mke na unasifa hizo njoo pm
Nawasilisha
chunga usije kudondokea masefuriaWacha kwanz nimalz kunyetuka na rud
hapo no 10 kuna sifa nying.Dah vigezo vyote ninavyo kasoro hiyo namba 10
Doh nshakosa mume
Unakosaje mume mara ya pili?Dah vigezo vyote ninavyo kasoro hiyo namba 10
Doh nshakosa mume
Yaani sina sifa ya kike kabisaaaa doh 😂 😂hapo no 10 kuna sifa nying.
Ipi ni yako hapo kweny folen
Yule wa kwanza si ndo hajasema Chochote au kasema maana muamala sijaonaUnakosaje mume mara ya pili?
Tena ni wanajeshi wa JWTZ.Hawa si wanaume mkuu
Hivyo yaani!Wachaa wee!!
kama paulo aliweza kushinda tamaa za mwil kwa kuwa msej mm nashindwajeKm wewe unatafuta mwanamke wa kumuoa basi mimi ninatafuta wanawake wa kuwaoa ukweli ni kwamba kwa uchu nilionao sidhani km ninaweza kutoshelezwa au kutosheka na mwanamke mmoja yaan list inabidi iwe ndefu kidogo na PM ipo wazi mnaweza mkawahi kabla dirisha la usajiri halijafungwa
karibu kiumeni sasaYaani sina sifa ya kike kabisaaaa doh
Niwe machine au 😂😂😂karibu kiumeni sasa